Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JANUARY MAKABA ASHINDA UCHAGUZI WA NDANI YA CCM NA KUWA MGOMBEA WA UBUNGE BUMBULI

Mh January amepewa tena ridhaa ya kuendelea kugombea Jimbo la Bumbuli na wana CCM katika uchaguzi uliofanyika ndani ya chama na Kuibuka kinara kwa kura nyingi na zakishindo dhidi ya wagombea wenzake.Hivi Ndivyo Matokeo yalivyokuwa

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

January Makamba ashinda Uchaguzi wa ndani ya CCM na kuwa Mgombea wa Ubunge Bumbuli

January-Makamba

Mh January amepewa tena ridhaa ya kuendelea kugombea Jimbo la Bumbuli na wana CCM katika uchaguzi uliofanyika ndani ya chama na Kuibuka kinara kwa kura nyingi na zakishindo dhidi ya wagombea wenzake.

11822402_879964805411918_167515375971033355_n

Hivi Ndivyo Matokeo yalivyokuwa…..

 

10 years ago

Michuzi

January Makaba ashinda kura za maoni CCM, Bumbuli

Mh January amepewa tena ridhaa ya kuendelea kugombea Jimbo la Bumbuli na wana CCM katika uchaguzi uliofanyika ndani ya chama na Kuibuka kinara kwa kura nyingi na zakishindo dhidi ya wagombea wenzake.Hivi Ndivyo Matokeo yalivyokuwa.....

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtoto wa Mama Ntilie Jumaa Aweso ashinda kwa kishindo uchaguzi wa ndani CCM, Ubunge Pangani

aweso

Ndugu Jumaa Aweso.

Na Mohammed Hammie, Pangani, Tanga

Mtoto wa mama ntilie mwenye uzao halisi kutoka wilayani Pangani mkoani Tanga, Ndugu Jumaa Aweso (pichani) ameibuka na ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa ndani wa chama cha mapinduzi CCM katika kinyang’anyiro cha Ubunge.

Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo Katibu wa CCM wilayani Pangani, Bi. Zaina Mlawa amesema kuwa, katika uchaguzi huo uliowashirikisha wagombea wapatao kumi na moja, Ndugu Aweso amekuwa wa kwanza miongoni mwa wagombea...

 

11 years ago

Michuzi

CCM YAMTEUA NDG. RIDHIWANI KIKWETE KUWA MGOMBEA WA UBUNGE KWENYE UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE

DODOMA,Tanzania
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Kada wa CCM, Ridhiwani Kikwete kuwa mgombea wake wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze kuziba nafasi iliyoachwa wazi na mbunge wa zamani wa jimbo hilo, marehemu Said Mwanamdogo.
Taarifa iliyotolewa na Makao Makuu ya CCM kupitia Idara ya Itikadi na uenezi CCM, imesema wakati uzinduzi wa kampeni za CCM katika uchaguzi huo utafanywa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, kampeni za zitaongozwa na Katibu wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mtoto wa Mama Ntilie Jumaa Aweso ashinda kwa kishindo uchaguzi wa ndani CCM Pangani

aweso

Ndugu Jumaa Aweso.

Na Mohammed Hammie, Pangani, Tanga

Mtoto wa mama ntilie mwenye uzao halisi kutoka wilayani Pangani mkoani Tanga, Ndugu Jumaa Aweso (pichani) ameibuka na ushindi wa kishindo katika uchaguzi wa ndani wa chama cha mapinduzi CCM.

Akitangaza matokeo ya uchaguzi huo katibu wa CCM wilayani Pangani Bi Zaina Mlawa amesema kuwa, katika uchaguzi huo uliowashirikisha wagombea wapatao kumi na moja, Ndugu Aweso amekuwa wa kwanza miongoni mwa wagombea hao.

Uchaguzi huo uliokuwa na...

 

9 years ago

CCM Blog

KAMATI KUU YA CCM YAMTEUA NDUGU DEOGRATIUS NGALAWA KUWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA LUDEWA




Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM iliyofanyika leo tarehe 12 Novemba, 2015 chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete imemteua Ndugu Deogratius Ngalawa kuwa mgombea wake wa Ubunge katika Jimbo la Ludewa mkoani Njombe.
Ndugu Ngalawa ameteuliwa kugombea nafasi hiyo ya Ubunge baada ya kushinda kura za maoni zilizofanyika Novemba 10, 2015.Taarifa Rasmi - Ubunge Ludewa-

 

11 years ago

Michuzi

UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA KALENGA,MGOMBEA UBUNGE WA CCM AKIJINADI KWA WANANCHI LEO KIJIJI CHA SADAN-IRINGA VIJIJINI


Msikilize Mgombea Ubunge jimbo la Kalenga kwa tiketi ya chama cha CCM,Godfrey Mgimwa akijinadi jioni ya leo kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Sadani kata ya Mseke,Iringa Vijijini.

 

5 years ago

Michuzi

Uchaguzi wa Burundi: Mgombea wa chama tawala Everiste Ndayishimye ashinda urais

Tume ya uchaguzi nchini Burundi imemtangaza mgombea wa chama tawala Evariste Ndayishimiye kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliofanyika juma lililopita.

Jenerali mstaafu ameshinda kwa 68.72% ya kura zilizopigwa, wakati Agathon Rwasa, kutoka chama kikuu cha upinzani akipata 24.19% ,matokeo yaliyotangazwa na tume hiyo hii leo.

Kwa kuwa Ndayishimiye amepata zaidi ya 50% ya kura, ameepuka kufanyika kwa duru ya pili ya uchaguzi.

Haya ni matokeo ya awali ya uchaguzi , ambapo matokeo ya mwisho...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani