Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAMATI KUU YA CCM YAMTEUA NDUGU DEOGRATIUS NGALAWA KUWA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA LUDEWA




Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM iliyofanyika leo tarehe 12 Novemba, 2015 chini ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete imemteua Ndugu Deogratius Ngalawa kuwa mgombea wake wa Ubunge katika Jimbo la Ludewa mkoani Njombe.
Ndugu Ngalawa ameteuliwa kugombea nafasi hiyo ya Ubunge baada ya kushinda kura za maoni zilizofanyika Novemba 10, 2015.Taarifa Rasmi - Ubunge Ludewa-

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

CCM YAMTEUA NDG. RIDHIWANI KIKWETE KUWA MGOMBEA WA UBUNGE KWENYE UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA CHALINZE

DODOMA,Tanzania
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Kada wa CCM, Ridhiwani Kikwete kuwa mgombea wake wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze kuziba nafasi iliyoachwa wazi na mbunge wa zamani wa jimbo hilo, marehemu Said Mwanamdogo.
Taarifa iliyotolewa na Makao Makuu ya CCM kupitia Idara ya Itikadi na uenezi CCM, imesema wakati uzinduzi wa kampeni za CCM katika uchaguzi huo utafanywa na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana, kampeni za zitaongozwa na Katibu wa...

 

9 years ago

GPL

CCM LUDEWA YAMPITISHA NGALAWA KUWANIA UBUNGE

Kada wa CCM, Deo Ngalawa. NGALAWA aliwashinda makada wenzake tisa waliokuwa wakiwania nafasi hiyo kwa kupata kura 537 akifuatiwa na mdogo wa marehemu Filikunjombe, Philip aliyepata kura 501. Makada wengine ni Edgar Lugome, Johnson Mgimba, Emmanuel Mgaya maarufu Masanja Mkandamizaji (19), James Mgaya (72), Jackob Mpangala (3), Evaristo Mtitu (21) na Zephania Chaula (38). ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamati Kuu CCM yamteua Mangula kuongoza kamati maalum kuandaa ilani ya CCM uchaguzi wa Serikali za Mitaa

2

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza na Waandishi wa Habari katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba, ambapo aliwaeleza kuwa Kamati Kuu imemteua  Ndugu Philipo Mangula kuongoza Timu ya Kamati Maalum ya CCM itakayoandaa Ilani ya CCM katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa  pia Kamati Kuu imemteua Ndugu Adam Kimbisa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Uhuru Media tarehe 16 Julai 2014.

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

 

9 years ago

CHADEMA Blog

MGOMBEA UBUNGE WA JIMBO LA MBARALI KUPITIA CHADEMA NDUGU LIBERATUS MWANG'OMBE ATOA SHUKRANI

ASANTENI SANA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI, MBARALI 2015 Kwa marafiki na wapenzi wangu wote tulio shirikiana kwenye kampeni zangu, Liberatus Mwang’ombe, za ubunge 2015 jimbo la Mbarali;Kwanza kabisa naomba samahani kwa kuchelewa kuwashukuru wote mlio tumia muda wenu, mali zenu, na nguvu zenu kwenye kampeni hizi. Nawashukuru kwa kunipa support ya kifedha, mawazo, vyombo, ushirikiano usio na

 

9 years ago

Michuzi

MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA MAFINGA AAHIDI KUTATUA KERO YA MAJI

wananchi wa Mafinga mjini wakimpokea mwenyekiti wa chama cha CCM mkoa wa Iringa jana mjini mafinga           MATUKIO KATIKA PICHA (picha: Baraka Nyagenda)wananchi  wa jimbo la Mafinga  wakifurahia mkutano mjumbe wa  NEC Marcelina Mkini akimnadi mgombea  ubunge Bw Chumi 
 KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

11 years ago

Michuzi

MSAFARA WA MGOMBEA UBUNGE WA CCM JIMBO LA CHALINZE ULIVYOKABILIWA CHANGAMOTO YA BARABARA

Mwenyekiti wa Kampeni za CCM Jimbo la Chalinze,Saleh Mpwimbwi akiangalia gari linaloongoza Msafara wa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze wa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete likipita kwa shinda kwenye barabara yenye tope kutoka Kijiji cha Hondogo kwenda Kilemela,wakati wa safari ya kuelekea kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea huyo,Machi 29,2014.hali hiyo imekuja kutokana na Mvua kubwa zilizonyesha kwa siku mbili mfululizo katika Maeneo mbali mbali hapa nchini.Ridhiwani Kikwete...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani