Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Japan yaadhiriwa na mafuriko makubwa

Mafuriko makubwa na maporomoko ya ardhi nchini Japan vimewalazimisha zaidi ya watu elfu 90 kuzihama nyumba zao

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Kenya, Somalia na Rwanda zakumbwa na mafuriko makubwa

Mvua kubwa inayonyesha katika eneo la Afrika mashariki imeharibu nyumba, miimea na miundombinu za usafiri.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mafuriko makubwa zaidi katika miaka 50 Marekani Kusini

Hali mbaya ya hewa imeathiri eneo kubwa la Marekani kusini katika msimu huu wa Krismasi, na kusababisha vifo vya watu 26 na kuhamishwa kwa watu 150,000

 

11 years ago

Michuzi

HIVI NDIVYO HALI HALISI ILIVYO VIJIJI VYA MAGOWE NA MATETENI MJINI MOROGORO BAADA YA MAFURIKO MAKUBWA

Team nzima ya Tanzania Redcross wakiwa katika picha ya pamoja mjini Morogoro katika maeneo ya Magowe na Mateteni ambayo yaliyoathirika na mafuriko makubwa hadi leo hii watanzania zaidi ya 500 wanaishi kwenye mahema. Kijana wa TRCS kutoka Mzizima Redcross branch ndugu Sute Samson Mtumbati akitoa elimu kwa wananchi juu ya kupambana na mazingira magumu wanayokutana nayo. Hili ni tank la maji safi ambalo uhudumia watu zaidi ya mia tano (500) ambalo halimalizi masaa 3 yanakwisha na...

 

10 years ago

Michuzi

Ubalozi Wa Tanzania Japan Waipaisha Kahawa Kilimanjaro Kwenye Treini Ziendazo Kasi Japan

Kahawa ya Tanzania imekuwa kivutio kikubwa kufuatia ushirikiano wa Ubalozi wa Tanzania Japan na Kampuni binafsi ya M.M. (wauzaji wakubwa wa kahawa ya Kilimanjaro Japan) kuandaa “Special Premium kilimanjaro Coffee Brand ” na kuingia makubaliano na Shirika kongwe la treini ziendazo kasi (Bullet Train) la Tokaido JR Shinkansen. Kahawa hiyo imekuwa kiburudisho kikubwa kwa wasafiri wote wanaotumia usafiri huo ambao ni maarufu sana Japan katika miji mbalimbali. Kwa watumiaji wa usafiri huo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Matokeo makubwa sasa bila maandalizi makubwa

ILI kupata matokeo yoyote makubwa na mazuri katika jambo lolote, lazima uwe umefanya maandalizi makubwa kabla. Hii ndiyo hali halisi ukiachilia mbali miujiza ya Mwenyezi Mungu anayeweza kufanya chochote. Tanzania...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani