Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jarida la kiisilamu lililochapisha kibonzo

Jarida la Cumhuriyet nchini Uturuki, ndilo pekee katika mataifa ya kiisilamu lililochapisha picha ya kibonzo cha kumkejeli mtume Muhammad iliyochapishwa kwenye jarida la Charlie Hebdo Jumatano.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Benki za kiisilamu Tanzania

Ushindani wa biashara katika huduma za benki nchini Tanzania, umeshuhudia kuanzishwa kwa huduma za benki ya Kiislam, kuvutia wateja zaidi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Hoja ya wapiganaji wa kiisilamu Syria

Maafisa wa ujasusi kutoka nchi za Magharibi wamezuru Damascus kwa mazungumzo kuhusu kupambana na makundi ya wapiganaji wa kiisilamu

 

11 years ago

BBCSwahili

Mhubiri wa kiisilamu auawa Mombasa

Abubakar Shariff anayejulikana kwa jina lengine kama Makaburi, amekuwa akituhumiwa kwa kusajili vijana kuenda kupigania kundi la Al Shabaab nchini Somalia

 

10 years ago

BBCSwahili

Msomi wa kiisilamu aleta kero Afrika:K

Msomi wa kiisilamu amezindua rasmi msikiti ambao anasema wapenzi wa jinsia moja wataruhusiwa kusali ndani na wanawake kuongoza sala.

 

10 years ago

BBCSwahili

Lawama kwa viongozi wa kiisilamu Kenya

Baraza makanisa nchini Kenya(NCCK) limewalaumu vongozi wa kiislamu na serikali kushindwa kuzuia mashambulizi dhidi ya wakristu.

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

Dewji Blog

10 years ago

GPL

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani