Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JB Kushirikiana na Wanachuo wa DUCE Kwenye Filamu ya ‘Maisha ya Chuo’

Kupitia ukurasa wake mtandaoni staa wa Bongo Movies,Jacob Stephen ‘JB’ amedokeza kuwa mwezi wa tisa mwaka huu atashirikiana na wanachuo kwenye kutengeneza filamu yake itakayoitwa Maisha ya Chuo.

“Leo nilikuwa na kikao na wanachuo cha Dar-es-salaam University college of Education (DUCE) nitashirikiana nao katika kutengeneza movie iitwayo maisha ya chuo mwezi wa tisa , hapa ni baada ya kumaliza kikao”- JB aliandika mara baada ya kuweka picha hiyo hapo juu.

Kila la kheri JB,wadau wanategemea...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

DATIUS JOVIT ALAMBA NONDOZ YA ELIMU YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA DUCE

 Kijana Datius akiwa katika Picha ya Pamoja na Baba yake Mzazi (nyuma ya babu yake aliyevaa miwani) Babu zake na dada zake wakati alipotunukiwa nondo yake ya elimu kutoka Chuo Kikuu Kishiriki cha DUCE hapo jana Datius Akiwa katika picha ya pamoja na Baba yake Mzazi (Kushoto) pamoja na Babu yake mdogo (kulia) Akivishwa taji na Dada yake aitwaye NeemaAkiwa na Dada mara baada ya kulamba nondoz.Picha Zote na Josephat Lukaza wa http://www.josephatlukaza.com

 

10 years ago

Dewji Blog

Maisha Lab kuendesha warsha ya Uandishi wa filamu kwenye tamasha la ZIFF mwaka huu

oie_1083944smwedxaa

NA ANDREW CHALE, MODEWJI BLOG

Tayari Maisha Lab ya Uganda wametangaza kupokea maombi ya  wanaotaka kushiriki katika warsha maalum ya uandishi wa filamu itakayofanyika visiwani Zanzibar wakati wa tamasha la Filamu za Nchi za Majahazi maarufu kama ZIFF,  kuanzia tarehe 18 hadi 25.

Hata hivyo, maombi toka kwa wanaotaka kushiriki katika warsha hii yameanza kupokewa na mwisho wa maombi ni tarehe 13 Juni, mwaka huu.

Warsha za Maisha Lab zimekuza vipaji vya waandishi wa filamu na wakurugenzi wa...

 

10 years ago

Michuzi

MDAU DATIUS JOVIT ALAMBA NONDOZ YA ELIMU YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA DUCE

 Kijana Datius akiwa katika Picha ya Pamoja na Baba yake Mzazi (nyuma ya babu yake aliyevaa miwani) Babu zake na dada zake wakati alipotunukiwa nondo yake ya elimu kutoka Chuo Kikuu Kishiriki cha DUCE hapo jana Datius Akiwa katika picha ya pamoja na Baba yake Mzazi (Kushoto) pamoja na Babu yake mdogo (kulia) Akivishwa taji na Dada yake aitwaye NeemaAkiwa na Dada mara baada ya kulamba nondoz.Picha Zote na Josephat Lukaza wa http://www.josephatlukaza.com

 

10 years ago

Dewji Blog

Madaktari wa Marekani wawafunda wanachuo wa Chuo Afya Zanzibar

Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Diaspora Zanzibar Ndg. Adila Hilal Vuai, akiutambulisha Ujumbe wa Madaktari Diaspora kutoka Washington walioletwa na Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Washington  wakali walipofika katika Chuo cha Elimu ya Afya Zanzibar walipofika hapo kutowa Elimu ya Afya ya Saratani ya Matiti na Mano, wakiwa Zanzibar kwa uwenyeji wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Diaspora na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ).

Rais wa Jumuiya ya Watanzania Washinton Ndg....

 

10 years ago

GPL

WANACHUO WAWILI WA CHUO CHA CBE DODOMA WAPATA GPA YA 4.9

Mwanafunzi aliyehitimu shahada ya Uhasibu, Bw. Peragius  Cosmas na kupata  GPA 4.91 akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha CBE Prof.Emanuel Mjema.…

 

10 years ago

Michuzi

WANACHUO WAWILI WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE) DODOMA WAPATA GPA YA 4.9

Bw. Peragius  Cosmas mwanafunzi aliyehitimu shahada ya Uhasibu na kupata  GPA 4.91 akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha CBE Prof.Emanuel Mjema.Bi. May Issa  mwanafunzi aliyehitimu shahada ya kwanza ya Usimamizi wa manunuzi  na kupata  GPA 4.92 Akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mkuu wa Chuo cha CBE Prof.Emanuel Mjema.
Kwa kile ambacho kimeonekana ni tishio kwa chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)  wanafunzi hawa  kutoka kampasi ya Dodoma  wameweza kupata ufaulu ...

 

11 years ago

Mwananchi

Wanachuo 212 wa Chuo cha Polisi Moshi wafukuzwa kwa kughushi vyeti

>Jeshi la Polisi limewafukuza chuo wanafunzi wa mafunzo ya uaskari 212 wa Chuo Cha Taaluma Moshi baada ya wanafunzi hao kubainika kughushi vyeti vya elimu ya sekondari.

 

11 years ago

GPL

WANACHUO WA CHUO CHA UALIMU VIKINDU WALAANI UTARATIBU MBOVU WA UGAWAJI CHAKULA

Wanachuo wa Chuo cha Ualimu Vikindu, Pwani wakigombea msosi. Vurugu zikiendelea.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani