Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je, historia ya mwaka 2005 itajirudia?

Wababe wa ligi kuu England Manchester United na Arsenal leo wanavaana katika uwanja wa Old Trafford katika hatua za robo fainali.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Prof Mwandosya; Mwaka 2005 nilikuwa wa tatu mwaka huu ikulu zamu yangu, ataka wagombea wenzake wasiogope kuelezwa maovu

Waziri asiye na Wizara maalum Prof Mark Mwandosya akiwapungua mkono baadhi ya wahudumu wa uwanja wa Ndege wa Nduli Iringa wakati akiondoka mkoani Iringa kuelekea mkoani Tabora kutafuta  wadhamini kwa ndege hiyo ya kukodi. Waziri Prof Mwandosya  akitafakari jambo. Dereva  wa gari la Prof Mwandosya  Iringa akipata picha ya kumbukumbu na kuagana na rubani wa ndege aliyokodi Waziri huyo. Wadhamini wa Prof Mwandosya  wakiagana na waziri huyo. Waziri Prof. Mwandosya  na mkewe akishuka...

 

9 years ago

Bongo5

Akon adai hajutii kuacha kumsainisha Drake kwenye label yake alipotambulishwa kwake mwaka 2005

Kama angemwelewa vyema, leo hii Drake angekuwa msanii wa Akon kupitia label yake ya Konvict Music, lakini hakushawishiwa na uwezo wake kipindi hicho. Ilikuwa ni mwaka 2005 pindi rapper wa Canada, Kardinal Offishall alimpompelekea Akon nyimbo za Drake kuona kama anaweza kumchukua. Hata hivyo Akon hakukikubali kipaji cha Drake kama alivyovutiwa na T-Pain na Lady […]

 

10 years ago

Vijimambo

BODI YA USAJILI WA WAHANDISI (ERB) YAELEZEA MAFANIKIO YAKE NA SERIKALI YA AWAMU YA NNE KWA KIPINDI CHA MWAKA 2005-2015

 Msajili Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi Tanzania (ERB), Mhandisi Steven Mlote. Msajili Mkuu wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Mhandisi Steven Mlote (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo asubuhi, wakati akitoa taarifa ya mafanikio ya bodi hiyo na serikali ya awamu ya nne kwa kipindi cha mwaka 2005-2015. Kulia ni Msajili Msaidizi wa bodi hiyo, Mhandisi Benedict Mukama na na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Ndani wa ERB, Vicentus Vedasto.
Mkutano na...

 

9 years ago

Global Publishers

9 years ago

Bongo5

Diamond: Nyimbo na Video ninazoenda kuachia mwaka huu zitakuwa ni historia hadi siku ntapozikwa!

Diamond ni miongoni mwa wasanii ambao waliahidi kuachia kazi mpya baada ya uchaguzi, na kati ya kazi alizofanya, inayosubiriwa kwa hamu zaidi ni wimbo aliomshirikisha staa wa RnB kutoka Marekani, Ne-Yo.

diamond p

Mpaka sasa bado haijafahamika ni wimbo/nyimbo gani atakazotangulia kuachia, kutokana na style yake ya kufanya vitu kimya kimya mpaka dakika za mwisho akiwa na kila kitu mkononi ndio huwa anaanza kutoa ishara.

Platnumz jana (Nov.9) aliandika post ambayo ni kama ishara ya kuwaandaa mashabiki...

 

5 years ago

Michuzi

MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA (TMDA) ILIVYOWEKA HISTORIA YA KUREKODI KIASI CHA MVUA NYINGI TANGU MWAKA 1970

Na Karama Kenyunko globu ya jamii.

MAMLAKA  ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imesema mwaka 2019 umeweka rekodi na  kushika nafasi ya nne kwa kuwa na kiasi cha mvua nyingi tangu mwaka 1970

Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dkt. Agnes Kijazi ameyasema hayo mbele ya waandishi wa habari alipokuwa akitoa uzinduzi wa ripoti ya tathmini ya hali ya hewa wakati wa kikao cha Bodi ya TMA kilichofanyika katika ofisi za Makao Makuu ya TMA Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam.

 Akizindua ripoti hiyo, Dkt. Kijazi ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viongozi wa dini wasiturejeshe 2005

BAADHI ya viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini wamejitwisha jukumu la kutaka kunusuru mchakato wa Bunge la Katiba kwa kujaribu kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa),...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani