Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Je, Kura ya Maoni itasimamiwa na tume huru au hii tunayoipenda sana?

Nilidhani mchakato wa ‘kujizaa upya’ unahitaji Tume Huru ya Uchaguzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tume Huru inahitajika kura ya maoni

Kipengele cha kuidhinisha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) na Tume ya Uchaguzi Zanzibar (Zec) kusimamia Kura ya Maoni, 2013, kimeibua malalamiko na mijadala mizito kutoka kwa wataalamu wa masuala ya katiba nchini.

 

10 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUHUSU UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA NA KURA YA MAONI


Kama inavyofahamika, chini ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1997 na Sheria ya Taifa ya Uchaguzi Sura ya 343 ya mwaka 2010, jukumu la Tume ya Taifa ya Uchaguzi ni kusimamia na kuendesha Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Wabunge na Madiwani kwa Tanzania Bara. Aidha, Sheria ya Kura ya Maoni imezipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Tume ya Uchaguzi Zanzibar jukumu la kuendesha Kura ya Maoni kwa ajili ya kuhalalisha Katiba Inayopendekezwa. Kwa mujibu wa Katiba...

 

10 years ago

Michuzi

News alert: Stephen Wasira aongoza kura za maoni Kura ya Maoni CCM-Bunda Mjini

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akishangiliwa na wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda mjini. Matokea yalikuwa hivi:

Stephen Wasira 6, 429Robert Maboto  6, 206Christopher Sanya 1, 140Xavier Rugina 846Simon Odunga 547Magesa Mugeta 446Peres Magiri  385Brian Baraka 263

 Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhe. Stephen Wasira akiwashukuru wapiga kura wake baada ya kuibuka kidedea kwenye kura za maoni leo huko Bunda...

 

11 years ago

MaishaPlus

Jumapili hii wanatoka washiriki wanne. Kura yako ni muhimu sana ili kumbakiza mshiriki umpendae

Jumapili hii wanatoka washiriki wanne. Kura yako ni muhimu sana ili kumbakiza mshiriki umpendae. Je utambakiza nani kati ya Farida (MP 09), Hyasinta (MP 11), Said (MP 14), Shaaban (MP 17) na Uwamahoro (MP 27)? Mpigie kura sasa kwa kuandika namba yake mfano MP 00 na kuituma kwenda +255689666662. Maisha Plus REKEBISHA iko hewani sasa kupitia TBC1 (DStv Ch. 290).

 

11 years ago

Mwananchi

Maoni ya wananchi yakipuuzwa, wataikataa kwa kura ya maoni

>Mjumbe wa Bunge la Katiba, Profesa Anna Tibaijuka ametahadharisha kuwa wananchi wanaweza kuikataa Katiba kwenye kura ya maoni kama maoni yao yatawekwa kando.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani