Je waogopa kufanya manunuzi kimitandao?
Kampuni ya huduma za manunuzi ya kimtandao Afrika Duniani JOVAGO iiliyopo nchi 40 Afrika,hatimaye imeanzisha mfumo wa manunuzi kupitia mitandao Tanzania na kupata Hoteli kupitia mfumo huo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili21 Sep
Apple wavamiwa kimitandao
9 years ago
BBCSwahili22 Sep
'Wateja bado waogopa kuingia Westgate'
11 years ago
BBCSwahili16 Jul
10 years ago
BBCSwahili17 Dec
Marufuku manunuzi Jumapili,Hungary
10 years ago
Habarileo05 Jul
Wataka Sheria ya Manunuzi kurejewa
SERIKALI imeombwa kuifanyia marekebisho Sheria ya Manunuzi ya Umma ili kuondoa baadhi ya vipengele ambavyo hutumiwa na watumishi wasio waaminifu kama mwanya wa kujinufaisha wao binafsi.
10 years ago
Dewji Blog08 Nov
JK ataka mabadiliko sheria ya manunuzi
Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete.
Na Mwandishi wetu
Rais wa Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete amesema lazima mabadiliko ya kina yafanyike katika idara ya ununuzi wa umma ili kudhibiti kiwango cha rushwa kinachoigharimu serikali
Rais Kikwete amebainisha hayo wiki iliyopita jijini Mwanza katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa 12 wa shirikisho la taasisi za kuzuia na kupambana na rushwa katika nchi za Umoja Wa Kusini Mwa Afrika ,SADC ambapo...
9 years ago
Habarileo16 Dec
Magufuli afumua Sheria Manunuzi
TUME ya Kurekebisha Sheria imeanza mchakato wa kuifanyia marekebisho Sheria ya Manunuzi ya Umma ya Mwaka 2011 kama njia ya kuitikia mwito wa Rais John Magufuli ambaye aliahidi kuifanyia marekebisho sheria hiyo wakati analizindua Bunge la 11.
9 years ago
Habarileo07 Sep
Nchi za EAC kuhuisha mifumo ya manunuzi
NCHI wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kupitia Mamlaka zake za Usimamizi na Udhibiti wa Manunuzi ya Umma (PPRA), zimeahidi kuhuisha mifumo yao ya manunuzi ili kuweza kupata sera, itakayowezesha kupatikana kwa sheria moja ya manunuzi ya umma, itakayotumika katika ukanda huo.
9 years ago
StarTV31 Dec
Serikali yatakiwa kurekebisha sheria ya manunuzi
Serikali imetakiwa kurekebisha sheria ya manunuzi pamoja na kuweka kipaumbele utoaji wa zabuni kwa viwanda vya ndani kwa nia ya kuvilinda na kuongeza ustawi wa sekta ya viwanda Ili kuendeleza viwanda vilivyopo hapa nchini.
Sambamba na hilo serikali imetakiwa kuzuia uingizaji holela wa bidhaa kutoka nje ya nchi ili kutoa nafasi kwa bidhaa zinazozalishwa hapa nchini.
Wakizungumza katika kiwanda cha utengenezaji wa transforma cha TANELEC kilichopo katika eneo la viwanda, njiro jijini...