Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jehi kukabidhi Nchi Raia:Burkina Faso

Jeshi la Burkina Faso ambao wamesema watatumia njia za kidplomasia kukabidhi madaraka kwa wananchi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

StarTV

Jeshi kukabidhi nchi raia Burkina Faso.

Jeshi nchini Burkina Faso lililochukua madaraka ya nchi hiyo limesema litarejesha madaraka kwa wananchi kwa njia ya kidemokrasia .

 
Kiongozi aliyechaguliwa na jeshi hilo kuongoza kwa muda Luteni Kanali Isaac Zida amewaambia wanadiplomasia kuwa pande zote mbili zitashirikishwa katika mchakato wa kumpata kiongozi wa kudumu wa taifa hilo.

 
Hata hivyo mkutano wa viongozi wa bara la Afrika uliofanyika mjini Adis Ababa umetoa wito kwa serikali ya muda inayoongozwa kijeshi kukabidhi madaraka kwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Utawala wa raia kurejea Burkina Faso?

Rais wa Ghana, Nigeria na Senegal watawasili nchini Burkina Faso kwa ajili ya kutoa msukumo kwa jeshi kurejesha utawala wa kiraia

 

9 years ago

BBCSwahili

Raia wafagia mji mkuu Burkina Faso

Raia wamejitokea Ouagadougou kuufagia mji huo baada ya wiki ya maandamano yaliyosababishwa na mapinduzi ya serikali.

 

10 years ago

BBCSwahili

Utawala kurejeshwa kwa Raia Burkina Faso

Viongozi wa kisiasa, kijeshi na asasi za kiraia wakubaliana mfumo wa Serikali ya mpito nchini Burkina Faso

 

12 years ago

BBC

Burkina Faso profile

Provides an overview, key facts and history of this West African nation

 

9 years ago

BBC

Burkina Faso elections under way

Polls have opened in Burkina Faso to elect a new president and parliament after a year of political turmoil.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mapinduzi Burkina Faso

Jeshi la Burkina Faso limefyatua risasi hewani kuwatawanya waandamanaji nje ya kituo cha Televisheni mjini Ouagadougou.

 

9 years ago

BBC

Who is who in Burkina Faso's coup?

A guide to the major players in Burkina Faso

 

10 years ago

BBC

Burkina Faso v Gabon

Preview followed by live coverage of Saturday's Africa Cup of Nations game between Burkina Faso and Gabon.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani