Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JEMBEKA PARTY MWANZA NA SAUTI SOL NI SHIDA

Sauti Sol toka nchini Kenya mwishoni mwa wiki (21/02/2015) wamepiga show ya kufufuka mtu ndani ya kiota cha burudani chanye hadhi ya kitalii Jembe Beach ndani ya party lililopewa jina la JEMBEKA, likiandaliwa na Kituo kipya cha redio jijini Mwanza Jembe FM 93.7.Mashabiki walitoa ushirikiano wa kila htua zilizokuwa zikiendelea stejini.Hapo vijEee….!!Kenyan Afro Pop (2014 MTV EMA Best Worlwide Act Nominees) walifanya kazi ya ukweli…Stage kama screen vile unawochi kitu cha LIVE….Kutoka kushoto...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SHOW YA SAUTI SOL KATIKA JEMBEKA PARTY MWANZA ILIKUWA HATARI....!!!

Sauti Sol toka nchini Kenya mwishoni mwa wiki (21/02/2015) wamepiga show ya kufufuka mtu ndani ya kiota cha burudani chanye hadhi ya kitalii Jembe Beach ndani ya party lililopewa jina la JEMBEKA, likiandaliwa na Kituo kipya cha redio jijini Mwanza Jembe FM 93.7.Mashabiki walitoa ushirikiano wa kila htua zilizokuwa zikiendelea stejini.Hapo vijEee....!!Kenyan Afro Pop (2014 MTV EMA Best Worlwide Act Nominees) walifanya kazi ya ukweli...Stage kama screen vile unawochi kitu cha LIVE....
Picha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwanza Ku-Jembeka na Sauti SOL Jumamosi hii Feb 21 ndani ya Jembe Beach

300 x 150m

Hatimaye ule mpango mzima wa kuzifungulia burudani ulioasisiwa na redio mpya ya jijini Mwanza JEMBE FM na kubatizwa jina ‘JEMBEKA’ unaanza rasmi jumamosi ya wiki hii tarehe 21/02/2015 ndani ya kiota cha burudani cha kitalii Jembe Beach Mwanza.

Burudani itakayo fungua mpango huo wa ‘JEMBEKA’ ni kutoka kwa kundi maarufu Afrika Mashariki lililovuka mipaka na sasa muziki wake kuchezwa hadi barani Ulaya kundi la Sauti Sol toka nchini Kenya ambao watapiga muziki LIVE.

Vijana wa Nyumbani JJ Band...

 

10 years ago

GPL

MWANZA KU-JEMBEKA NA SAUTI SOL JUMAMOSI HII FEB 21 NDANI YA JEMBE BEACH‏

Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal (kulia), akimkabidhi Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Seif Rashid machapisho mbalimbali baada ya kuzindua kongamano la siku mbili la kimataifa la watoto walio katika mazingira hatarishi Dar es Salaam jana. Wa pili kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia.… ...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMUZI YA JEMBEKA FESTIVAL MWANZA

Diamond Platnumz katika stage la Tamasha kubwa la burudani linalokwenda kwa jina la JEMBEKA FESTIVAL liliyofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza na kukusanya ummati mkubwa. Tamasha hilo liliweza kukidhi haja za mashabiki wake kwani walilazimika kubaki eneo la tukio hadi mwisho wa tukio majira ya saa 12 asubuhi ya siku iliyofuata.Diamond Platnumz akimlisha keki Mkurugenzi wa Jembe ni Jembe Dr. Sebastian Ndege ikiwa ni sehemu ya Uzinduzi wa Jembe Fm 93.7 Mwanza,...

 

10 years ago

Michuzi

MWANZA NA MAKAMUZI YA JEMBEKA FESTIVAL OYOMBA YES!!!! PART TWO

Diamond Platnumz katika stage la Tamasha kubwa la burudani linalokwenda kwa jina la JEMBEKA FESTIVAL liliyofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza na kukusanya ummati mkubwa. Tamasha hilo liliweza kukidhi haja za mashabiki wake kwani walilazimika kubaki eneo la tukio hadi mwisho wa tukio majira ya saa 12 asubuhi ya siku iliyofuata.Diamond Platnumz akimlisha keki Mkurugenzi wa Jembe ni Jembe Dr. Sebastian Ndege ikiwa ni sehemu ya Uzinduzi wa Jembe Fm 93.7 Mwanza,...

 

10 years ago

Dewji Blog

PHOTOS: Mwanza na makamuzi ya Jembeka Festival Oyomba Yes!!!! Part Two

Diamond Platnumz katika stage la Tamasha kubwa la burudani linalokwenda kwa jina la JEMBEKA FESTIVAL liliyofanyika mwishoni mwa wiki katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza na kukusanya ummati mkubwa. Tamasha hilo liliweza kukidhi haja za mashabiki wake kwani walilazimika kubaki eneo la tukio hadi mwisho wa tukio majira ya saa 12 asubuhi ya siku iliyofuata. Diamond Platnumz akimlisha keki Mkurugenzi wa Jembe ni Jembe Dr. Sebastian Ndege ikiwa ni sehemu ya Uzinduzi wa Jembe Fm 93.7...

 

10 years ago

Michuzi

JEMBEKA FESTIVAL TUKIO LINALOSUBIRIWA KWA HAMU NA WAKAZI WA MWANZA


BOFYA HAPA KUONA WENGINE WATAKAOSHIRIKI KWENYE TAMASHA HILO

 

9 years ago

Mwananchi

AY, Diamond na Sauti Sol we acha tu!

Tasnia ya muziki Afrika Mashariki kwa namna moja au nyingine imeonekana kupiga hatua, huku wasanii wenyewe wakiendelea kuzitangaza nchi zao kimataifa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani