Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jenifer Mgendi azindua dvd yake ya wema ni akiba

Mmoja wa Waimbaji mahiri wa nyinbo za Injili, Jenifer Mgendi akiimba mbele ya wapenzi na washabiki wa nyimbo zake katika uzinduzi wa  dvd yake ya Wema ni akiba,uzinduzi huo ulifanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar .Wa pili pichani ni  Askofu Mkuu wa kanisa la Tanzania Assemblies of God Dr Barnabas Mtokambali akiionesha dvd ya Jennifer Mgendi ya Wema ni akiba baada ya kuizindua Jumapili iliyopita. Kulia ni Katibu Mkuu wa kanisa la Tanzania Assemblies of God Mchungaji Ron Swai.Baadhi ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JENNIFER MGENDI AACHIA ALBAMU YA WEMA NI AKIBA

 Mwimbaji wa siku nyingi wa nyimbo za injili nchini, Jennifer Mgendi, ameachia albamu yake mpya mapema wiki hii.
Akizungumza na blogu hii  Mgendi amesema albamu hiyo ina jumla ya nyimbo saba ambazo ni Wema ni Akiba, Nani kama Mungu?, Nakungoja aliomshirikisha Mchungaji Abiudi Misholi, Kimbilia Msalabani, Nakuhitaji Roho, Tenda nishangae na Wastahili.
Akizungumzia video ya albamu hiyo, Mgendi amesema maandalizi ya video yameanza na video itazinduliwa Juni 28 katika kanisa la DCT Tabata Shule...

 

10 years ago

Michuzi

muimbaji wa nyimbo za Injili, Jennifer Mgendi na ujio wa filamu yake mpya "Mama Mkwe"


FILAMU mpya ya muimbaji wa nyimbo za Injili, Jennifer Mgendi iitwayo 'Mama Mkwe' inatarajiwa kuigizwa sokoni siku ya Alhamisi baada ya kukwama kuachiwa jana Jumatatu kama ilivyokuwa imepangwa.Aidha Muinjilisti huyo amewataka mashabiki wake wasiikose kupata darasa la kutosha.
Jennifer alisema filamu hiyo itaachiwa rasmi Septemba 25 baada ya jana kukwama kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake ikiwa ni wiki kadhaa tangu kumalizika kurekodiwa kwake na kusema kwa ujumbe uliopo ndani yake, mashabiki...

 

11 years ago

Mwananchi

JK azindua M-pawa, ni kuweka akiba na kukopa kupitia simu

Rais Jakaya Kikwete jana alizindua huduma mpya ya M-Pawa itakayosaidia wateja kuhifadhi na kukopa fedha kupitia simu za mkononi itakayoendeshwa kwa pamoja na kampuni ya huduma za simu za mkononi ya Vodacom na Benki ya Biashara Afrika, CBA.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ronaldo azindua sanamu yake

Cristiano Ronaldo amezindua sanamu yake ya kumuenzi kwa mafanikio yake, katika mji aliozaliwa wa Funchal kwenye Kisiwa Madeira.

 

10 years ago

GPL

SHILOLE AZINDUA VIDEO YAKE MPYA

Red carpet.   Shilole katika red carpet.…

 

10 years ago

BBCSwahili

Kanye West azindua bibilia yake

Kitabu hicho kitukufu kimebadilishwa na kuwa Biblia ya sasa kwa jina ''Yeezus'' na amini usiamini kila jina la Mungu limebadilishwa na lile la Kanye West

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani