muimbaji wa nyimbo za Injili, Jennifer Mgendi na ujio wa filamu yake mpya "Mama Mkwe"
FILAMU mpya ya muimbaji wa nyimbo za Injili, Jennifer Mgendi iitwayo 'Mama Mkwe' inatarajiwa kuigizwa sokoni siku ya Alhamisi baada ya kukwama kuachiwa jana Jumatatu kama ilivyokuwa imepangwa.Aidha Muinjilisti huyo amewataka mashabiki wake wasiikose kupata darasa la kutosha.
Jennifer alisema filamu hiyo itaachiwa rasmi Septemba 25 baada ya jana kukwama kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake ikiwa ni wiki kadhaa tangu kumalizika kurekodiwa kwake na kusema kwa ujumbe uliopo ndani yake, mashabiki...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi
“NIPO STUDIO” YA JENNIFER MGENDI KUACHIWA

Jennifer amesema filamu hii inazungumzia changamoto mbalimbali anazokutana nazo Bibi Esta pale anapokuwa na...
10 years ago
Michuzi03 Dec
10 years ago
Michuzi
JENNIFER MGENDI AACHIA ALBAMU YA WEMA NI AKIBA

Akizungumza na blogu hii Mgendi amesema albamu hiyo ina jumla ya nyimbo saba ambazo ni Wema ni Akiba, Nani kama Mungu?, Nakungoja aliomshirikisha Mchungaji Abiudi Misholi, Kimbilia Msalabani, Nakuhitaji Roho, Tenda nishangae na Wastahili.
Akizungumzia video ya albamu hiyo, Mgendi amesema maandalizi ya video yameanza na video itazinduliwa Juni 28 katika kanisa la DCT Tabata Shule...
9 years ago
Global Publishers18 Dec
Jennifer Mgendi atembelea Global TV Online na kufanya mahojiano
Mwimbaji Injili, Jennifer Mgendi akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo wakati akifanyiwa mahojiano
Jennifer Mgendi akisikiliza baadhi ya maswali kutoka Global TV Online.
Jennifer akizidi kufanya mahojiano ndani ya Global TV Online leo.
Jennifer Mgendi akiwa na John Joseph ambaye ni Mhariri wa Gazeti la Championi Ijumaa.
Mhariri wa Gazeti la Ijumaa Wikienda, Sifael Paul akipozi na Jennifer.
Jennifer akiwa na Mwnadishi wa Championi, Nicodemus.
Jennifer akiwa na...
11 years ago
CloudsFM29 May
MUME WA MWANAMUZIKI WA NYIMBO ZA INJILI ADAIWA KUMBAKA SHEMEJI YAKE WA MIAKA 17
Mume wa mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili, (jina tunalihifadhi kwa sasa), anatuhumiwa kumbaka shemeji yake mdogo (17).
Taarifa za tukio hilo ziliripotiwa juzi saa 12 jioni katika Kituo cha Polisi Tabata (Tabata Shule), zikimtuhumu mwanamume huyo kwamba alimbaka binti huyo mara tatu na kumsababishia maumivu makali.
Binti huyo alifika katika kituo hicho cha polisi akiwa na ndugu zake wawili ambao walilalamika kwamba kulikuwa na jitihada kubwa kutoka upande wa mtuhumiwa wa kuzima kesi hiyo.
...
10 years ago
MichuziMSANII WA NYIMBO ZA INJILI, MKOANI IRINGA REHEMA CHAWE AACHIA ALBAMU YAKE YA GOSPEL
MSANII wa nyimbo za Injili, nyanda za juu kusini Rehema Chawe ambaye ni Mwanachama wa chama cha Muziki wa Injili Tanzania (CHAMUITA), anatarajia kuzindua albamu yake ya kwanza, inayoitwa Kusamehe ni afya.
Uzinduzi huo unatarajia kufanyika Jumapili, March 8, mwaka katika kanisa la EAGT, Frelimo kwa mchungaji Mwenda, ambaye ni Mwenyekiti wa makanisa ya Kipentekoste mkoani Iringa.
Akizungumza na wanahabari, Chawe alisema uzinduzi huo utapambwa na waimbaji...
10 years ago
Bongo505 Jan
Sylvester Stallone atangaza ujio wa filamu mpya ya ‘Rambo’
10 years ago
Bongo Movies10 Sep
JB Afunguka Haya Kuhusu Marehemu Adam Kuambiana na Ujio wa Filamu Mpya
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram staa wa Bongo Movies , Jacob Stephen ‘JB’ ameendelea kusifia kipaji cha sanaa alichokuwanacho marehenu Adam Kuambiana ambaye atakuwepo kwenye filamu mpya itakayotoka wiki ijayo inayokwenda kwa jina la mahabusi aliyoicheza kabla ya kufariki dunia.
“Moja kati ya waigizaji ambao sitaacha kuwasifia ingawa tayari ametangulia mbele za haki....Adam Kuambiana....ana sauti, ana hisia na anajua....Yeye pamoja na dada mmoja anayeitwa Bridgete. aliyewahi...