Sylvester Stallone atangaza ujio wa filamu mpya ya ‘Rambo’
Sylvester Stallone ametangaza kwenye Twitter kuhusu ujio wa filamu mpya ya Rambo. Filamu ya kwanza ya Rambo, First Blood ilitoka mwaka 1982. Muigizaji huyo mwenye umri wa miaka 68 ataigiza tena kama John Rambo kwenye muendelezo wa tano wa filamu hiyo ambayo haijulikani itatoka lini.
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM04 Nov
BAADA YA KIMYA CHA MIAKA MINNE RAY C ATANGAZA UJIO MPYA KIMUZIKI
Staa nguli wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila ‘Ray C’ kupitia account yake ya ‘instagram’ ametangaza ujio wake mpya kimuziki.
ray c ameandika “ray c the singer is back!!!!!!! napenda kuwajulisha mashabiki kuwa kuanzia sasa muda wowote,saa yoyote,dakika yoyote,siku yoyote kuanzia sasa single yangu mpya mshummshum/walimwengu itaanza kusikika kwenye simu zenu plus kwa wale wapenzi wa mitandao kama mimi ya facebook,twitter,instagram,google,youtube,blogs na websites mbalimbali mtaweza.....kwa...
9 years ago
Bongo Movies10 Sep
JB Afunguka Haya Kuhusu Marehemu Adam Kuambiana na Ujio wa Filamu Mpya
Kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa instagram staa wa Bongo Movies , Jacob Stephen ‘JB’ ameendelea kusifia kipaji cha sanaa alichokuwanacho marehenu Adam Kuambiana ambaye atakuwepo kwenye filamu mpya itakayotoka wiki ijayo inayokwenda kwa jina la mahabusi aliyoicheza kabla ya kufariki dunia.
“Moja kati ya waigizaji ambao sitaacha kuwasifia ingawa tayari ametangulia mbele za haki....Adam Kuambiana....ana sauti, ana hisia na anajua....Yeye pamoja na dada mmoja anayeitwa Bridgete. aliyewahi...
10 years ago
Michuzi23 Sep
muimbaji wa nyimbo za Injili, Jennifer Mgendi na ujio wa filamu yake mpya "Mama Mkwe"
FILAMU mpya ya muimbaji wa nyimbo za Injili, Jennifer Mgendi iitwayo 'Mama Mkwe' inatarajiwa kuigizwa sokoni siku ya Alhamisi baada ya kukwama kuachiwa jana Jumatatu kama ilivyokuwa imepangwa.Aidha Muinjilisti huyo amewataka mashabiki wake wasiikose kupata darasa la kutosha.
Jennifer alisema filamu hiyo itaachiwa rasmi Septemba 25 baada ya jana kukwama kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake ikiwa ni wiki kadhaa tangu kumalizika kurekodiwa kwake na kusema kwa ujumbe uliopo ndani yake, mashabiki...
9 years ago
Bongo519 Sep
Davido atangaza ujio wa collabo yake na Joh Makini