Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BAADA YA KIMYA CHA MIAKA MINNE RAY C ATANGAZA UJIO MPYA KIMUZIKI

Staa nguli wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila ‘Ray C’ kupitia account yake ya ‘instagram’ ametangaza ujio wake mpya kimuziki.

ray c ameandika “ray c the singer is back!!!!!!! napenda kuwajulisha mashabiki kuwa kuanzia sasa muda wowote,saa yoyote,dakika yoyote,siku yoyote kuanzia sasa single yangu mpya mshummshum/walimwengu itaanza kusikika kwenye simu zenu plus kwa wale wapenzi wa mitandao kama mimi ya facebook,twitter,instagram,google,youtube,blogs na websites mbalimbali mtaweza.....kwa...

CloudsFM

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Sylvester Stallone atangaza ujio wa filamu mpya ya ‘Rambo’

Sylvester Stallone ametangaza kwenye Twitter kuhusu ujio wa filamu mpya ya Rambo. Filamu ya kwanza ya Rambo, First Blood ilitoka mwaka 1982. Muigizaji huyo mwenye umri wa miaka 68 ataigiza tena kama John Rambo kwenye muendelezo wa tano wa filamu hiyo ambayo haijulikani itatoka lini.

 

5 years ago

Michuzi

YANGA YAMALIZA UKAME WA USHINDI DERBY YA KARIAKOO BAADA YA MIAKA MINNE



Na Yassir Simba,  Michuzi Tv

Mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga uliopigwa leo katika dimba la Taifa jijini Dar es Salaam  umemalizika kwa Yanga timu ya wananchi kuibuka na ushindi wa bao 1 kwa 0

Mchezo huo uliopigwa majira ya saa 11:00 jioni uliamuliwa kwa adhabu ndogo yaani free nje kidogo la lango la Simba mara baada ya kiungo wa Simba Jonas Gerald Mkude kumfanyia madhambi Benard Morrison katika dakika ya 43 ya mchezo ndipo muamuzi wa mchezo huo kutoka Morogoro Martin Sanya kuamuru...

 

9 years ago

GPL

STEVE JOB AKUMBUKWA BAADA YA KIFO CHAKE MIAKA MINNE ILIYOPITA

MWASISI mwenza wa kampuni la zana za kompyuta la Apple, Steve Jobs, amekumbukwa leo na kampuni lake na walimwengu baada ya kufariki miaka minne iliyopita. Mwasisi mwenza wa kampuni la zana za Kompyuta la Apple, Steve Jobs. Kiongozi wa kampuni hilo, Tim Cook, na viongozi wengine wa kampuni hilo waliadhimisha tukio hilo kwa kummwagia sifa mwenzao huyo aliyefariki na kuliachia sifa kubwa kampuni hilo maarufu duniani. Katika...

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kuficha Ujauzito, Snura Adaiwa Kufunga Ndoa Kimya Kimya

Staa wa Bongo Fleva alieanzia uigizaji, Snura Mushi amedaiwa kufunga ndoa ya siri na mchumba wake wa siku nyingi ambaye pia ni mzazi mwenziye,DJ maarufu mjini Mbeya,Hunter.

Habari zinasema kuwa katika sherehe ya ndoa hiyo walialikwa watu wachache kutoka kwenye pande mbili za familia ya wanandoa hao na ilifungwa kwa siri jijini Dar.

Kupitia U heard na Soudy Brown amezungumza na Snura ambaye amekana kufunga ndoa,lakini alipoulizwa kama aliweza kuficha mimba hadi alipojifungua je? Hawezi...

 

9 years ago

Bongo5

Genevieve Nnaji kuja na ‘Road to Yesterday’ baada ya kuwa kimya kwa miaka miwili

12145477_790315321079211_455722967_nBaada ya kuwa kimya kwa kipindi cha miaka miwili, muigizaji wa Nigeria, Genevieve Nnaji anatarajia kurudi tena kwenye filamu. Staa huyo wa Nollywood anatarajia kuja na filamu ya kwanza aliyoitayarisha mwenyewe, ‘Road to Yesterday.’ Nnaji alisema huu ni muda muafaka kwa yeye kurejea tena lakini akihusika zaidi pia kwenye utayarishaji. Amesema filamu hiyo aliyoshirikiana kuiandaa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani