YANGA YAMALIZA UKAME WA USHINDI DERBY YA KARIAKOO BAADA YA MIAKA MINNE

Na Yassir Simba, Michuzi Tv
Mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga uliopigwa leo katika dimba la Taifa jijini Dar es Salaam umemalizika kwa Yanga timu ya wananchi kuibuka na ushindi wa bao 1 kwa 0
Mchezo huo uliopigwa majira ya saa 11:00 jioni uliamuliwa kwa adhabu ndogo yaani free nje kidogo la lango la Simba mara baada ya kiungo wa Simba Jonas Gerald Mkude kumfanyia madhambi Benard Morrison katika dakika ya 43 ya mchezo ndipo muamuzi wa mchezo huo kutoka Morogoro Martin Sanya kuamuru...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
STEVE JOB AKUMBUKWA BAADA YA KIFO CHAKE MIAKA MINNE ILIYOPITA
11 years ago
CloudsFM04 Nov
BAADA YA KIMYA CHA MIAKA MINNE RAY C ATANGAZA UJIO MPYA KIMUZIKI
Staa nguli wa Bongo Fleva,Rehema Chalamila ‘Ray C’ kupitia account yake ya ‘instagram’ ametangaza ujio wake mpya kimuziki.
10 years ago
Habarileo29 Aug
Malindi yamaliza Makocha kwa ushindi
KLABU ya soka ya Malindi imetoka kidedea mbele ya timu ya New Afrika kwa ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa Kombe la Makocha uliochezwa juzi Uwanja wa Amaan mjini Unguja.
10 years ago
Vijimambo13 Sep
YANGA YAANZA KUKAA KILELENI BAADA YA USHINDI WA 2 BILA MAJIBU UWANJA WA TAIFA LEO

Donald Ngoma akishangilia goli lake kwa kumkumbatia kocha mkuu wa timu ya Yanga Hans van der Pluijm

Mabingwa watete wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Yanga SC leo imefanikiwa kuanza vyema kuutetea ubingwa wake kwa kuibuka na ushindi wa oli 2-0 mbele ya Coastal Union ya jijini Tanga kwenye mchezo pekee wa ligi uliopigwa leo jioni kunako dimba la Taifa.
Goli la...
10 years ago
Habarileo01 Oct
Yanga yamaliza uteja
YANGA imezidi kujikita kileleni katika msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kuifunga Mtibwa Sugar kwa mabao 2-0, mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini hapa.
10 years ago
VijimamboSIKILIZA WALICHOKISEMA STANSLAUS MABULA (CCM) BAADA YA USHINDI PAMOJA NA EZEKIEL WENJE (CHADEMA) BAADA YA KUSHINDWA.
BONYEA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA
10 years ago
TheCitizen14 Dec
Simba clobber Yanga in derby
9 years ago
Global Publishers29 Dec
Miaka Minne Ndani ya Mapango ya Amboni – 42
ILIPOISHIA WIKI ILIYOPITA:
Kikosi kingine cha askari kikaingizwa ndani ya pango hilo kuhakikisha kama wale watu tuliosema wameuawa, wameuawa kweli. Askari hao waliambiwa kama watakuta maiti zao watoke nazo.
Baada ya mawasilino kufanyika, gari la hospitali likawasili, Waandishi wa habari na wananchi walikuwa wametuzonga wakituhoji maswali lakini polisi waliwaondoa.
Tukapakiwa kwenye gari la hospitali na kupelekwa Hospitali ya Bombo ya jijini Tanga.
SASA ENDELEA…
Wakati tunafikishwa katika...