Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JESHI LA MAGEREZA WAJIVUNIA KUFIKIA MALENGO YA MILENIA 90-90-90 DHIDI YA VVU

 Kamishna Jenerali wa Magereza, Suleiman Mzee akisema jambo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya (hawapo pichani) wakati wa ziara katika Gereza Kuu la Arusha. ACP Dkt. Richard Mwankina akisoma taarifa ya Jeshi la Magereza kwa niaba ya Kamishna Generali wa Magereza Suleiman Mzee (hayupo pichani) kwa wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya.   Mkurugenzi wa Huduma za Kinga kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Leonard Subi ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tanzania yashindwa kufikia malengo ya milenia

 Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF) imesema wakati muda wa utekelezaji wa malengo ya milenia ukikaribia kufika mwisho ifikapo mwaka 2015, Tanzania bado ni maskini.

 

10 years ago

BBCSwahili

Je kwa nini Afrika imeshindwa kufikia Malengo ya milenia?

Miaka 15 sasa tangu viongozi wa dunia walipoidhinisha malengo 8 ya Milenia bara la Afrika limeshindwa kuafikia malengo hayo

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yajivunia kufikia malengo ya milenia katika afya, elimu

DSC_0564

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, John Haule (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu wiki ya Umoja wa Mataifa inayotarajiwa kuanza kuadhimishwa Ijumaa wiki hii (kushoto) ni Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez.

Na Mwandishi Wetu

KATIBU MKUU wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, John Haule amesema serikali ya Tanzania imefikia kwa...

 

10 years ago

Habarileo

Wahariri waombwa kusaidia kufikia malengo ya 90-90-90 dhidi ya Ukimwi

SERIKALI kupitia Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imewaomba wahariri wa vyombo vya habari nchini, kutenga nafasi katika vyombo vyao ili kusaidia malengo iliyojiwekea katika kufikia asilimia 90 ya kudhibiti virusi vya Ukimwi ifikapo mwaka 2020.

 

10 years ago

Michuzi

WASTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA WAAGWA RASMI LEO MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA JIJINI DAR

Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja akitoa nasaha fupi katika hafla fupi ya kuwaaga Wastaafu wa Jeshi la Magereza ambao wamestaafu rasmi Utumishi wa Umma tangu Julai 1, 2014. Hafla hiyo imefanyika leo Septemba 19, 2014 Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, Jijini Dar es Salaam. Wastaafu wa Jeshi la Magereza(katika picha) wakiwa na familia zao wakimsikiliza Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(hayupo pichani) wakati akitoa nasaha fupi kwa Wastaafu hao ambao wamestaafu...

 

9 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KUPITIA RASIMU YA MPANGO WA WA JESHI LA MAGEREZA KUJITOSHELEZA CHAKULA, JIJINI DAR

 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akifungua Kikao Maalum cha Wadau kutoka nje ya Magereza(hawapo pichani) cha kujadili rasimu ya Mpango wa Jeshi la Magereza wa kujitosheleza kwa chakula cha Wafungwa waliopo Magerezani. Kikao hicho kimefanyika leo Desemba 8, 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam. Mshauri Mwelekezi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Beatus Kundy(aliyesimama) akiwasilisha rasimu ya Mpango wa Jeshi la Magereza wa...

 

10 years ago

Michuzi

ASASI YA "AIDS - free" KUSAIDIA MAPAMBANO DHIDI YA UKIMWI NDANI YA JESHI LA MAGEREZA

Mkurugenzi wa Mradi wa "AIDS free", Bw. Samson Kironde(wa pili kushoto) akitoa maelezo mafupi namna mradi huo utakaotekelezwa ndani ya Jeshi la Magereza na Polisi katika mazungumzo rasmi yaliyofanyika Ofsini kwa Kamishna Jenerali wa Magereza leo februari 20, 2015(wa pili kulia) ni Mkurugenzi wa Operesheni na Fedha, Bw. Mike Hames(wa kwanza kushoto) ni Afisa Mwandamizi anayeshughulikia masuala ya UKIMWI kutoka USAID, Bw. Erick Mlang'ha. Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir...

 

10 years ago

BBCSwahili

Malengo ya Milenia:TZ

Tanzania imefanikiwa kutimiza lengo namba 4 la malengo ya maendeleo ya milenia.

 

10 years ago

GPL

TAARIFA RASMI KUTOKA JESHI LA MAGEREZA DHIDI YA UZUSHI KUWA BABU SEYA NA MWANAE WAMEACHIWA HURU

Nguza Viking 'Babu Seya' (kulia) na mwanaye Johnson Nguza 'Papii Kocha'. Hivi sasa kuna taarifa zimesambaa kupitia Ujumbe mfupi wa simu (SMS) na mitandao ya kijamii zikihusisha kuachiliwa huru kwa wafungwa wawili wanaotumikia Kifungo cha Maisha gerezani. Wafungwa hao wanaotajwa ni Nguza Vicking(Maarufu kwa jina Babu Seya) na Johnson Nguza (Maarufu kwa jina la Papii Kocha) - Katika picha ya maktaba juu. Napenda kuufahamisha Umma...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani