JESHI LA POLISI LAAHIDI KUONGEZA ULINZI TUME YA NGUVU ZA ATOMIKI TANZANIA

Jeshi la Polisi nchini limeingia Makubaliano ya kutoa Ulinzi na Tume ya Nguvu za Atomik Tanzania, kutokana na eneo hilo kuwa ni muhimu kwa nchi,pamoja na usalama wa nchi ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa eneo hilo halitumiwi na wahalifu.
Akizungumza wakati wa zoezi hilo Kamishna wa Operesheni Liberatus Sabas alisema kuwa eneo hilo ni muhimu sana kwa usalama wa nchi hivyo, linahitaji kuwa salama na ulinzi mathubutu ili kuzuia wahalifu kutotumia eneo hilo.
Sabas alisema...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo14 Feb
Tume ya nguvu za atomiki kuboreshwa
SERIKALI itaboresha Tume ya Nguvu za Atomiki iwe na mamlaka yenye nguvu ya udhibiti, itakayosaidia kusimamia shughuli zote zinazohusu teknolojia ya nyuklia wakati huu ambao matumizi yake yanaongezeka.
11 years ago
Michuzi.png)
MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA NGUVU ZA ATOMIKI DUNIANI ZIARANI NCHINI TANZANIA
.png)
.png)
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI SHINYANGA LAAHIDI KUSHIRIKIANA NA WAANDISHI WA HABARI KUTOKOMEZA VITENDO VYA UHALIFU
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba akizungumza leo Ijumaa Aprili 10,2020 katika kikao kazi chake na waandishi wa habari kilicholenga kujadili masuala mbalimbali ya ulinzi na usalama kilichofanyika katika Hoteli ya Travellers mjini Shinyanga. Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
10 years ago
Michuzi
TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 18.08.2015. KUFANYA KAZI YA ULINZI NA USALAMA ILIYOKASIMIWA KWA JESHI LA POLISI.


KATIKA MSAFARA WAKE KUTOKA UWANJA WA NDEGE [SONGWE] KULIONEKANA GARI MOJA (PICHANI) AINA YA LAND CRUISER – PICK UP YENYE RANGI NYEUSI NA NDANI YAKE LILIKUWA LIMEBEBA VIJANA AMBAO WALIKUWA WAMEVAA MAVAZI MEUSI, KOFIA – BERETI NYEUSI NA MIWANI...
11 years ago
Habarileo20 Feb
Polisi kuongeza nguvu udhibiti mauaji ya kishirikina
JESHI la Polisi nchini litaendelea kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia na vitendo vya mauaji yanayosababishwa na imani za kishirikina kwa kuendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya madhara ya vitendo hivyo.
10 years ago
Michuzi
JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA LAANDAA SHEREHE ZA KUMUAGA AMIRI JESHI MKUU MHE. DKT KIKWETE

Simu ya Upepo : “N G O M E” Makao Makuu ya Jeshi,Simu ya Mdomo : DSM 22150463 Sanduku la Posta 9203,Telex : 41051 DAR ES SALAAM, 31 Agosti, 2015,Tele Fax : 2153426Barua pepe : ulinzimagazine@yahoo.co.ukTovuti : www.tpdf.mil.tz
Taarifa kwa Vyombo vya Habari Vyombo vya Ulinzi na Usalama...
10 years ago
Mtanzania29 Jan
Jeshi la Polisi linavyotumia nguvu nchini
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
KWA miaka kadhaa sasa yamekuwapo malalamiko kuhusu matumizi ya nguvu ya Jeshi la Polisi dhidi ya raia wakiwamo waandishi wa habari na viongozi wa upinzani nchini.
Matukio hayo ni kama lile la kutisha ambako mwandishi wa habari, Daudi Mwangosi aliuawa Septemba 2, mwaka 2012 kwa bomu lililorushwa na polisi mkoani Iringa.
Mwangosi aliuawa kwa bomu la kutoa machozi lililorushwa na polisi waliotaka kulizuia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufungua tawi...
10 years ago
MichuziJESHI LA POLISI KUIMARISHA ULINZI SIKU YA KUPIGA KURA
Akizungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya Jeshi la Polisi leo Mkuu wa Jeshi hilo IGP Ernest Mangu amesema kuwa ulinzi utaimarishwa maeneo yote kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama ili kuhakikisha kuwa taifa linapita...
11 years ago
Michuzi
JESHI LA POLISI MKOANI PWANI KUHIMARISHA ULINZI KATIKA SIKUKUU YA EID EL FITR

JESHI la Polisi mkoani Pwani limewataka madereva kuwa makini waendeshapo magari na kuacha matumizi ya vilevi ili kuepukana na ajali zisizo za lazima ambazo zinaweza zikajitokeza wakati wa kipindi cha sikukuu ya Eid el Fitr.
Pia limewataka wanafamilia kutotoka wote majumbani bila ya kuacha watu au kutoa taarifa kwa majirani ili kuepuka wizi na uhalifu unaoweza kujitokeza wakati wa sikukuu.
Kwa mujibu wa kamanda wa polisi mkoani humo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi...