Jeshi la polisi lapokea vifaa vya kiusalama
Jeshi la Polisi Nchini limetakiwa kulinda na kuhakikisha amani inakuwepo katika kipindi hiki cha Uchaguzi Mkuu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameyasema hayo, wakati akikabidhi magari mia tatu kwa Polisi nchini.
Katika Makabidhiano hayo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, ERNEST MANGU, Rais Kikwete amekabidhi magari mia tatu kati ya mia saba sabini na saba yanayotarajiwa kuimarisha ulinzi na shughuli mbalimbali za Polisi nchini.
StarTV
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI LAPOKEA VIFAA KINGA DHIDI YA CORONA.
Kamishna wa Polisi, Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi CP Shaban Hiki akipokea vifaa kinga dhidi ya maambukizi ya virusi vya Corona kutoka kwa Balozi wa kampeni ya Mikoni safi, Tanzania salama, Msanii Mrisho Mpoto (Mjomba), tukio lililofanyika katika makao makuu Jeshi la Polisi Ofisi ndogo Jijini Dar es Salaam.
Timu ya uhamasishaji kutoka Wizara ya Afya na Wadau kutoka Shirika lisilo Lakiserikali la Project CLEAR wakimsikiliza Kamishna wa Polisi, Kamisheni ya Uchunguzi wa Kisayansi CP...
10 years ago
VijimamboNMB BANK YALIPATIA JESHI LA POLISI VIFAA VYA MICHEZO, NI KWA AJILI YA TIMU ZA POLISI DAR NA MORO
5 years ago
MichuziSHIA ITHNA ASHERIA MWANZA WAKABIDHI VIFAA KINGA VYA CORONA JESHI LA POLISI
NA BALTAZAR MASHAKA, Mwanza
WAUMINI wa madhehebu ya Khoja Shia Ithna Asheria, jijini Mwanza wamejitosa kwenye mapambano ya vita dhidi ya Homa kali ya Mapafu inayosababishwa na Kirusi cha Corona (Covid-19) kwa kutoa msaada wa vifaa kinga vya ugonjwa huo kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza.
Vifaa kinga hivyo barakoa 300, vitakasa mikono 500 na chupa 500 za sanitizer vilikabidhiwa juzi kwa Ofisa Mnadhimu wa jeshi hilo mkoani humu, Safia Jongo kwa niaba ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza...
5 years ago
MichuziJESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LINAWASHIKILIA WATUHUMIWA NANE KWA KOSA LA KUPATIKANA NA VIFAA VYA KUVUNJIA
10 years ago
MichuziMSAMA AUCTION MART KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI WAKAMATA VIFAA MBALIMBALI VYA KUDURUFU KAZI ZA WASANII
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani), wino unaotumika kunakshia makasha ya CD feki wanazozitengeneza
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions,...
10 years ago
Dewji Blog04 Nov
Msama Auction Mart kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi wakamata vifaa mbalimbali vya Kkdurufu kazi za wasanii
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akiwaonyesha waandishi wa habari (hawapo pichani), moja kati ya mashine 4 za kurudufu CD feki zilizokamatwa katika eneo la Kimara jijini Dar es Salaam jana. Kulia ni Ofisa wa Polisi, D/SSGT Daniel Gingo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani), wino unaotumika kunakshia makasha ya CD feki wanazozitengeneza.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama...
10 years ago
GPLMSAMA AUCTION MART KWA KUSHIRIKIANA NA JESHI LA POLISI WAKAMATA VIFAA MBALIMBALI VYA KUDURUFU KAZI ZA WASANII
9 years ago
MichuziTAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI TAREHE 18.08.2015. KUFANYA KAZI YA ULINZI NA USALAMA ILIYOKASIMIWA KWA JESHI LA POLISI.
KATIKA MSAFARA WAKE KUTOKA UWANJA WA NDEGE [SONGWE] KULIONEKANA GARI MOJA (PICHANI) AINA YA LAND CRUISER – PICK UP YENYE RANGI NYEUSI NA NDANI YAKE LILIKUWA LIMEBEBA VIJANA AMBAO WALIKUWA WAMEVAA MAVAZI MEUSI, KOFIA – BERETI NYEUSI NA MIWANI...
9 years ago
MichuziUNODC YAKABIDHI VIFAA VYA MAABARA JESHI LA MAGEREZA
Afisa Mipango wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC), Immaculata Nyoni akizungumza jambo kabla ya kukabidhi vifaa vya maabara kwa Jeshi la Magereza nchini.Kamishna wa Sheria na Uendeshaji wa Magereza nchini Dkt. Juma Malewa akizungumza jambo wakati wa hafla fupi ya kukabidhiwa vifaa vya maabara kwa Magereza Tanzania.Afisa Mipango wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulika na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC), Immaculata Nyoni pamoja na...