Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jeshi la Somalia na AU wadhibiti Barawe

Wanajeshi wa Somalia na vikosi vya Muungano wa Afrika wamechukua udhibiti wa mji wa Barawe iliyokuwa ngome ya al-Shabab.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Kambi ya jeshi la AU yavamiwa Somalia

Msemaji wa kundi la Al Shabaab anasema kuwa wapiganaji wake waliingia kwa nguvu ndani ya kituo hicho na mapigano yanaendela.

 

9 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Kenya latuhumiwa Somalia

Jeshi la Kenya limetuhumiwa kujihusisha na biashara haramu, badala ya kufanya kazi zinazowahusu nchini Somalia.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mkuu wa jeshi aponea kifo Somalia

Mkuu wa jeshi la Somalia ameponea chupuchupu kuuawa mjini Mogadishu baada ya gali alimokuwa kushambuliwa

 

9 years ago

BBCSwahili

Jeshi lashinda mechi ya kihistoria Somalia

Historia imeandikwa katika ulimwengu wa soka Somalia baada ya mechi ya nyumbani kuonyeshwa moja kwa moja kwenye runinga.

 

10 years ago

BBCSwahili

Jeshi la Kenya lafanya shambulio Somalia

Jeshi la Kenya limeshambulia maeneo mawili ya jimbo la Gedo nchini Somalia,ambalo ni makao ya wapiganaji wa kundi la Alshabaab

 

10 years ago

BBCSwahili

Al Shabab waondoka Barawe

Majeshi ya Somalia na Umoja wa Afrika AU yamesema yamefanikiwa kuwatimua wapiganaji wa Al Shabab.

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi wadhibiti maandamano

 Jeshi la Polisi mkoani Arusha, limezima maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), jana baada ya askari wake wa miguu na magari ya maji ya kuwasha kutanda mitaani, huku chama hicho kikidai kufanikiwa kufikisha ujumbe uliokusudiwa.

 

10 years ago

Habarileo

RC aagiza wadhibiti uegeshaji kutimuliwa

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky SadikiMKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, ameiagiza Halmashauri ya Jiji kuondoa kampuni ya uwakala wa kusimamia udhibiti wa uegeshaji holela wa magari katika eneo la jiji kutokana na makampuni hayo kuwa kero kwa watumiaji wa barabara.

 

11 years ago

BBCSwahili

Maafisa wadhibiti ulinzi Kenya

Maafisa wa usalama nchini Kenya wamedhibiti ulinzi baada ya kunasa silaha nzito kutoka kwa watu wanaoshukiwa kuwa magaidi mjini Mombasa Pwani ya Kenya

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani