Kambi ya jeshi la AU yavamiwa Somalia
Msemaji wa kundi la Al Shabaab anasema kuwa wapiganaji wake waliingia kwa nguvu ndani ya kituo hicho na mapigano yanaendela.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili22 Jul
Kambi ya jeshi yavamiwa Kinshasa DRC
Ufyatulianaji wa risasi umetokea katika kambi ya kijeshi mjini Kinshasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
10 years ago
BBCSwahili02 Nov
Kambi ya jeshi yavamiwa Mombasa,Kenya
Wanajeshi katika kambi ya jeshi ya Nyali iliopo mjini Mombasa pwani ya Kenya wamewaua kwa kuwapiga risasi watu 5
11 years ago
BBCSwahili21 Jul
Akaunti ya Twitter ya jeshi la Kenya yavamiwa
Akaunti ya Twitter ya jeshi la Kenya imevamiwa na wanaharakati ambao wanasema wanapinga ufisadi.
9 years ago
BBCSwahili17 Nov
11 wauawa kambi ya Wakimbizi,Somalia
Idara za Usalama mjini Mogadishu,Somalia zimeeleza watu 11 wameuawa kutokana na mapigano yaliyozuka katika kambi ya wakimbizi.
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Kambi ya jeshi yaporomoka na kuua 23 Urusi
Takriban wanajeshi 23 wa Urusi wameuawa karibu na mji wa Omsk ulioko Siberia baada ya jengo la kambi yao kuporomoka.
9 years ago
BBCSwahili30 Sep
Jeshi ladhibiti Kambi Burkina Faso
Serikali ya mpito ya Burkina Faso imesema imedhibiti Kambi ya Vikosi vya ulinzi vya Rais vilivyofanya mapinduzi mapema mwezi huu.
10 years ago
BBCSwahili04 Jan
Boko Haram lateka kambi ya jeshi Nigeria
Maafisa Nigeria wanasema kuwa kundi la Boko Haram limeuteka mji na kambi moja ya kijeshi inayotumiwa na wanajeshi wa kimataifa
9 years ago
BBCSwahili02 Jan
Islamic State washambulia kambi ya jeshi Iraq
Wapiganaji wa kundi la Islamic State (IS) wameshambulia kambi ya jeshi karibu na mji wa Ramadi, siku chache baada ya mji huo kukombolewa.
9 years ago
BBCSwahili12 Nov
Jeshi la Kenya latuhumiwa Somalia
Jeshi la Kenya limetuhumiwa kujihusisha na biashara haramu, badala ya kufanya kazi zinazowahusu nchini Somalia.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania