Kambi ya jeshi yaporomoka na kuua 23 Urusi
Takriban wanajeshi 23 wa Urusi wameuawa karibu na mji wa Omsk ulioko Siberia baada ya jengo la kambi yao kuporomoka.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili30 Jun
UN:Jeshi la Sudan Kusini 'lilibaka na kuua'
Umoja wa mataifa unasema kuwa Wajeshi wa Sudan Kusini wamewabaka kwa zamu wasichana wengi kisha wakawachoma wakiwa majumbani mwao.
9 years ago
BBCSwahili14 Sep
Jeshi la Misri ladai kuua kimakosa
Misri imesema jeshi lake la ulinzi limeuwa raia 12 kwa bahati mbaya
10 years ago
BBCSwahili25 Dec
Kambi ya jeshi la AU yavamiwa Somalia
Msemaji wa kundi la Al Shabaab anasema kuwa wapiganaji wake waliingia kwa nguvu ndani ya kituo hicho na mapigano yanaendela.
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/ccvv.jpg)
NDEGE YA JESHI LA MAREKANI YAANGUKA AFGHANISTAN NA KUUA 12
Ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya C-130 Hercules iliyoanguka. Ramani inayoonesha eneo ambapo ndege hiyo ilipata ajali. Ndege ya kijeshi ya Marekani aina ya C-130 Hercules imeanguka usiku wa leo katika Uwanja wa Ndege wa Jalalabad nchini Afghanistan na kuua watu 12. Kanali wa jeshi la Marekani Brian Tribus ameiambia AFP kwamba watao kati ya waliokufa walikuwa wanajeshi wa Marekani, watano walikuwa raia wa… ...
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Urusi yaonya dhidi ya kutumia jeshi
Kikao cha dharura cha umoja wa mataifa chajadili kudorora kwa usalama Ukraine
11 years ago
BBCSwahili01 Mar
Jeshi la Urusi laruhusiwa kwenda Crimea
Bunge la Urusi limempa idhini Rais Putin kutuma wanajeshi zaidi huko Crimea
10 years ago
BBCSwahili02 Nov
Kambi ya jeshi yavamiwa Mombasa,Kenya
Wanajeshi katika kambi ya jeshi ya Nyali iliopo mjini Mombasa pwani ya Kenya wamewaua kwa kuwapiga risasi watu 5
9 years ago
BBCSwahili30 Sep
Jeshi ladhibiti Kambi Burkina Faso
Serikali ya mpito ya Burkina Faso imesema imedhibiti Kambi ya Vikosi vya ulinzi vya Rais vilivyofanya mapinduzi mapema mwezi huu.
11 years ago
BBCSwahili22 Jul
Kambi ya jeshi yavamiwa Kinshasa DRC
Ufyatulianaji wa risasi umetokea katika kambi ya kijeshi mjini Kinshasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania