Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jeshi la Zimamoto lawakumbuka yatima



NA MWANDISHI WETU, IRINGA 

JESHI la Zimamoto na Uokoaji mkoani Iringa, limetoa misaada mbalimbali kwa kituo cha kulelea watoto yatima cha Sister Theresia, kilichoko Tosamaganga, mkoani hapa. Akikabidhi msaada huo, Kamanda wa Jeshi la Zimamoto mkoani hapa, Kennedy Komba, alisema lengo la kutoa msaada huo ni kuwa karibu na jamii. Alisema misaada hiyo itawasaidia yatima walioko katika vituo mbalimbali mkoani hapa. Komba alisema watoto yatima wanakabiliana changamoto nyingi katika kupata...

Uhuru Newspaper

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU KADIO AKAGUA KIWANJA CHA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI DODOMA KINACHOTARAJIWA KUJENGWA MAKAZI YA MAOFISA NA ASKARI WA JESHI HILO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Christopher Kadio, wa kwanza kulia, akitoa maelekezo kwa Kamishna wa Utawala na Fedha wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Mbaraka Semwanza, pamoja na Maofisa Waandamizi wa Jeshi hilo, baada ya kumaliza kutembelea Kiwanja KK Plot 125 Mtumba Three, cha Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Dodoma, kinachotarajiwa kujengwa Makazi ya Maofisa na Askari wa Jeshi hilo, baada ya kupewa shilingi bilioni tano na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt....

 

10 years ago

Michuzi

ZIMAMOTO IRINGA WATOA MISAADA KWA WATOTO YATIMA

 Kamanda wa jeshi la zimamoto mkoa wa iringa akikabidhi mbuzi kwa kaimu mkuu wa kituo cha Sister Theresa, Sister Sister Winfrida Mhongole  katika makabidhiano yaliyofanyika kituoni hapo.
NA DENIS MLOWE,IRINGA
JESHI la Zimamoto mkoani Iringa limesheherekea sikukuu ya pasaka  na watoto  wanaoishi katika kituo cha kulea yatima cha Sister Theresia  kilichoko Tosamaganga mkoani Iringa kwa kuwapatia misaada mbalimbali.
Akikabidhi msaada huo Kamanda wa Jeshi la Zimamoto mkoa wa Iringa Inspekta Kennedy...

 

9 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA MAKAO MAKUU YA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI NA KUWATAKA KUBUNI MIRADI MBALIMBALI YA KUONGEZA MAPATO NDANI YA JESHI HILO.

 Kaimu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,ambaye pia ni Kamishna wa Operesheni, Rogatius Kipali (kulia), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, taarifa ya ujenzi la Jengo laa  linalotarajiwa kuwa Makao Makuu ya Jeshi hilo, alipotembelea Ofisi za Jeshi hilo zilizoko TAZARA ,jijini Dar es Salaam. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, John Mngodo, akizungumza  na Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji (hawapo pichani),...

 

10 years ago

Mwananchi

Serikali kuliwezesha vifaa, mafunzo Jeshi la Zimamoto

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Pereira Silima amesema Serikali itaendelea kulijengea uwezo Jeshi la Zimamoto ili liweze kukabiliana na majanga ya moto hasa katika viwanja vya ndege nchini.

 

5 years ago

CCM Blog

MKUU WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI AFANYA MABADILIKO YA MAKAMANDA

Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, (CGF) John W. Masunga, amefanya mabadiliko ya baadhi ya Makamanda wa Mikoa.
Makamanda walioguswa na mabadiliko hayo ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Zimamoto na Uokoaji (SACF) ABDALLAH MAUNDU anakwenda kuwa (RFO) Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kigoma, kabla ya nafasi hiialikuwa Makao Makuu Dodoma.
Aliyekuwa Kamanda wa Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Mara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACF) SALUM M. OMARI, anayekwenda kuwa (RFO) Kamanda wa Mkoa wa...

 

10 years ago

Michuzi

NMB Yadhamini Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji.

 Benki ya NMB imedhamini mkutano mkuu wa Mwaka wa Makanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania bara ulioanza leo mkoani Mororogoro. 
Katika mkutano huo, NMB imeweka mabanda ya maonyesho yanayotoa elimu juu ya huduma mbalimbali zinazopatikana ndani ya benki ya NMB pamoja na kutoa huduma za papo kwa papo ambapo wajumbe wa mkutano huo walipata wasaa wa kufungua akaunti za chap chap pamoja na kupata huduma za NMB Wakala. 
Kwa huduma za NMB Wakala, wateja wa NMB wanaweza kutoa na kuweka ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani