Jeshi Stars, Mbweni, TTPL zatoa vipigo
Michuano ya Ligi Daraja la Kwanza ya netiboli imeanza kushika kasi mjini hapa kwa timu za TTPL, Uhamiaji, Jeshi Stars, JKT Mbweni kuanza vyema kwa kushinda mechi zake walizocheza juzi katika Uwanja wa Jamhuri.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
TheCitizen22 Sep
Flying start for JKT Mbweni, Jeshi Stars
9 years ago
Habarileo13 Dec
Jeshi Stars wajitoa netiboli Muungano
TIMU ya Jeshi Stars imejitoa kushiriki mashindano ya netiboli ya Muungano inayotarajia kuanza Jumanne kwenye Uwanja wa Gymkhana mjini hapa.
10 years ago
TheCitizen09 Sep
Uhamiaji silence favourites Jeshi Stars
10 years ago
TheCitizen08 May
Savio, Jeshi Stars put titles on the line
10 years ago
Raia Tanzania13 Aug
Jeshi jipya la Stars kujifua kwa saa tatu
Stars inayojiandaa na mchezo dhidi ya Nigeria, Septemba 5 katika Uwanja wa Taifa jijini hapa imeingiza sura mpya baada ya wachezaji wa klabu za Yanga na Azam FC, kushindwa kuwasili kambini kutokana na kutumikia klabu zao. Akizungumza...
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
Kampuni za teknolojia zatoa mipango yao
11 years ago
Mwananchi03 Apr
Paris St-Germain, Real Madrid zatoa dozi
9 years ago
Mtanzania01 Oct
Yanga, Simba, Azam zatoa dozi VPL
*Kagera, Prisons, Majimaji zabanwa mbavu, African Sports hoi Ligi kuu
NA WAANDISHI WETU
TIMU za soka za Yanga, Simba na Azam jana zilitoa dozi ya vipigo katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara zilizochezwa kwenye viwanja tofauti, huku mabingwa hao watetezi wakiendelea kutamba kileleni mwa ligi hiyo.
Vinara Yanga walijiongezea kasi na kuzidi kujiimarisha kwenye msimamo wa ligi hiyo baada ya kuwazamisha wenyeji wao Mtibwa Sugar kwa mabao 2-0 katika mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri,...
10 years ago
BBCSwahili05 Jan
Vinara La Liga waambulia vipigo