Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jhikoman, Zawose, Maembe kupamba ‘Karibu Festival’

Px 1

Msemaji  wa  tamasha la Karibu Music Festival, Muslim Nassor  ‘Jazzphaa’ (katikati) akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho huo.

..Wapo pia Prof. Jay, Barnaba, Shilole

Na Andrew Chale

WASANII kutoka ndani na nje wanatarajiwa kupamba tamasha la Muziki la Kimataifa la ‘Karibu  Music Festival’ litakalofanyika kwa siku tatu kwenye mji wa Kihistoria wa Bagamoyo, Novemba 7 hadi 9 mwaka huu.

Akizungumza na waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika ukumbi wa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Karibu Music Festival 2015 laanza kwa kishindo, Ras Six, Msafiri Zawose, Hard Mad, Kokodo band wafunika

DSC_0641

Mwanamuziki wa nyimbo za asili za Kabila la Kigogo, Msafiri Zawose akiimba kwa kutumia  zeze maarufu la Kabila hilo katika shoo yao ya ufunguzi   wa Tamasha la Karibu Music Festival msimu wa pili lililoanza jana Novemba 6.2015. (Picha zote na Andrew Chale, Modewjiblog)

Na Andrew Chale, Modewjiblog

[BAGAMOYO-TANZANIA] Tamasha kubwa la Kimataifa la Muziki la ‘Karibu Music Festival’ linaloratibiwa na Karibu Cultural Promotions Organization (KCPO) na Legendary Music Entertainment and Promotions...

 

11 years ago

Michuzi

MFALME WA REGGAE JHIKOMAN ADATISHA KATIKA INTERNATIONAL AFRICAN FESTIVAL TUBINGEN,UJERUMANI

Tubingen,Ujerumani, Mwanamuziki maarufu wa reggae barani Afrika Jhiko Manyika aka Jhikoma kutoka Bagamoyo,Tanzania,alifanikiwa kuwadatisha akili washabiki wa muziki nchini ujerumani siku ya alhamisi 17 julai 2014 katika maonyesho makubwa ya kimataifa 5th International African festival Tubingen 2014,yanayofanyika katika viwanja vya Festplatz,mjini Tubingen,Ujerumani. 
Mwanamuziki huyo nguli wa reggae amepewa heshima zote za kimataifa kwa uwakilishaji wake kama balozi wa reggae wa Afrika.ratiba...

 

9 years ago

TheCitizen

Karibu Music Festival is back again

A total of about 15000-24000 people are expected to show up for the second edition of the Karibu Music Festival orgnised by the Karibu Cultural Promotions Organization (KCPO) and Legendary Music Entertainment and Promotions Co. Ltd.

 

10 years ago

Vijimambo

KARIBU MUSIC FESTIVAL CALL FOR VENDORS

★★★CALL FOR VENDORS & EXHIBITORS ★★★
JOIN US to promote your arts, culture, business and any products in the festival. More than 500 Artists from Tanzania and other countries in the world with 17,000 audience will gathering together to have a wonderful 3 days festival in Bagamoyo!!
<>
Please send email to "info@karibumusic.org" for
1) Participation Categories (BUSINESS or EXHIBITION or OTHER)
2) Products you are going to sell/promote (ex. ARTS, CRAFTS, AFRICAN CLOTHES, ACCESSORIES, CULTURE,...

 

10 years ago

Mwananchi

Karibu Festival sasa yatikisa Bagamoyo

Tangu jana Mji wa Bagamoyo umekuwa na uchangamfu wa hali ya juu kutokana na tamasha kubwa la muziki la kwanza kufanyika mjini humo kuanza rasmi huku msisimko mkubwa ukionekana katika mitaa ya Bagamoyo na wageni wakimiminika kutoka pembe mbalimbali za dunia ili kushuhudia aina nyingine ya burudani.

 

10 years ago

Mwananchi

Jicho la kujifunza linahitajika Karibu Festival

Tangu jana mjini Bagamoyo kuna shamrashamra za tamasha jipya la utamaduni wa muziki linaloitwa Karibu Festival, ambalo linamalizika kesho katika Viwanja vya Mwanakalenge na TASUBA.

 

10 years ago

TheCitizen

3-day Karibu Festival livens up Bagamoyo

 Mwananchi Communications Limited (MCL) sponsored The Karibu Music Festival started on a joyful mood in Bagamoyo last Friday, attracting record participation of local and foreign artistes.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani