Jichagulie mapema leo utatazama movie gani Cinema kama upo Dar au Arusha..
Najua nina watu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend, sasa kama upo Dar es salaam na Arusha movie zinazoonyeshwa kwenye big screen weekend hii na Trailers zake nimekuwekea hapa. Going Bongo Dilwale Star Wars:The Force Awakens In The Heart of the Sea Bajirao Mastani The Good Dinosaur Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa […]
The post Jichagulie mapema leo utatazama movie gani Cinema kama upo Dar au Arusha.. appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo02 Jan
Upo Dar na ungependa kwenda cinema leo JAN 2 ? ratiba iko hapa…
The Last Witch Hunter ni movie mpya iliyochezwa na staa Vin Diesel itayoanza kuonyeshwa leo dunia nzima kwenye theater mbalimbali, kama vipi ungana na dunia nzima na wewe ukaangalie movie hii, kama upo unaweza kuchagua muda wako pa kwenda kuangalia kati ya majumba ya Cinema Dar es salaam Mlimani City, Oysterbay au Quality Center. The […]
The post Upo Dar na ungependa kwenda cinema leo JAN 2 ? ratiba iko hapa… appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo02 Jan
News na Trailer ya movie mpya ya Watanzania ‘Home Coming’ baada ya kuonyeshwa CINEMA Dsm
Ni movie nyingine iliyoigizwa na Watanzania lakini ikapitia kwenye mikono ya Watengenezaji wenye sifa zinazotakiwa kwenye utayarishaji na utengenezaji wa movie kwenye dunia ya sasa…. Trailer yake na ilivyoonyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye CINEMA Dar es salaam, bonyeza play kwenye hii video hapa chini kutazama. Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa […]
The post News na Trailer ya movie mpya ya Watanzania ‘Home Coming’ baada ya kuonyeshwa CINEMA Dsm appeared first on...
10 years ago
Vijimambo09 Feb
11 years ago
MichuziSHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS LAENDELEA VYEMA SIKU YA LEO
11 years ago
GPL
UPO KAMA DUME LA BATA FANYA HIVI
11 years ago
CloudsFM17 Aug
Kama wewe upo Kahama hii inakuhusu...
HIVI NI BAADHI YA VITUO VINAVYOUZA TIKETI ZA SERENGETI FIESTA KAHAMA KUANZIA MUDA HUU:
Uwanjani kutakuwa na gari moja, Bijampora kutakuwa na gari moja, Fantoni kutakuwa na gari moja, Stendi kuu kutakuwa na gari moja, Galaxy/Social/Chila kutakuwa na gari moja.
TAADHARI:
Kinywaji cha aina yeyote ile kutoka nje ya eneo la uwanja wa kahama hakitaruhusiwa kuingia.. Huduma ya chakula na vinywaji kutoka Serengeti Breweries Limited vitapatikana kwa wingi.
Pia yeyote mwenye umri chini ya miaka 18...
11 years ago
Tanzania Daima02 Mar
Kama upo hai bado kuna matumaini
NIANZE na nilichokiona juzi wakati napita maeneo fulani jijini Dar es Salaam. Kilikuwa ni kitu cha kusikitisha ambacho kama vijana lazima tukiwekee mkazo na tujifunze. Mara nyingi tumejikuta tukifanya uamuzi...
9 years ago
Dewji Blog02 Sep
Rais Kikwete aagwa na Majeshi ya Ulinzi na Usalama nchini mapema leo jijini Dar es Salaam
Picha ya juu na chini: Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na Usalama Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride rasmi liliandaliwa na vikosi mbalimbali wakati wa sherehe ya kuagewa rasmi na vyombo vya ulinzi na usalama iliyofanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.
…Naaga!!