Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Upo Dar na ungependa kwenda cinema leo JAN 2 ? ratiba iko hapa…

The Last Witch Hunter ni movie mpya iliyochezwa na staa Vin Diesel itayoanza kuonyeshwa leo dunia nzima kwenye theater mbalimbali, kama vipi ungana na dunia nzima na wewe ukaangalie movie hii, kama upo unaweza kuchagua muda wako pa kwenda kuangalia kati ya majumba ya Cinema Dar es salaam Mlimani City, Oysterbay au Quality Center. The […]

The post Upo Dar na ungependa kwenda cinema leo JAN 2 ? ratiba iko hapa… appeared first on TZA_MillardAyo.

MillardAyo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Jichagulie mapema leo utatazama movie gani Cinema kama upo Dar au Arusha..

Najua nina watu ambao wanapenda kwenda Cinema kila weekend, sasa kama upo Dar es salaam na Arusha movie zinazoonyeshwa kwenye big screen weekend hii na Trailers zake nimekuwekea hapa.   Going Bongo Dilwale  Star Wars:The Force Awakens In The Heart of the Sea Bajirao Mastani The Good Dinosaur  Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa […]

The post Jichagulie mapema leo utatazama movie gani Cinema kama upo Dar au Arusha.. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

MillardAyo

Wasanii kulipwa nyimbo zinapopigwa Redioni/TV? stori iko hapa….. (+Audio)

Stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa Nikki wa pili akifunguka kuhusiana kupitishwa kwa sheria inayohusu wasanii kulipwa nyimbo zinapochezwa katika TV na Redioni. Akiongea na ripota wa millardayo.com alisema’Leo kulifanyika mkutano mdogo ambapo mawaziri wawili (Waziri wa Viwanda na Biashara & Waziri wa Utamaduni/Sanaa na Michezo cha msingi ilikuwa ni kwamba imezinduliwa rasmi sheria […]

The post Wasanii kulipwa nyimbo zinapopigwa Redioni/TV? stori iko hapa….. (+Audio) appeared first...

 

9 years ago

MillardAyo

Kwanini Mr. Nice anafanya muziki kwa Nyodo? stori iko hapa….

Inawezekana kabisa haujamuona Mr Nice kumiliki zile chart za Top 20 za radio lakini hajakata tamaa ya kutafuta maisha ana mambo yake mengine anayoyafanya tofauti na muziki. Mr Nice anasema kwasasa amejihusisha kwenye miradi ya ufugaji wa kuku pamoja na kilimo, ila  kwenye headlines za muziki amesema  kwamba anaufanya kwa nyodo,..kumsikia mwenyewe na sababu zake […]

The post Kwanini Mr. Nice anafanya muziki kwa Nyodo? stori iko hapa…. appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

Dewji Blog

Ratiba ya Mechi za Kombe la Dunia iko hapa

fifa_world_cup_2014_wallpaper1

2014fwc Matchschedule Wgroups 22042014 en Neutral by moblog

 

10 years ago

Michuzi

HAJAT KIJAKAZI SALUM KYERULA AFARIKI DUNIA, MSIBA UPO MIKOCHENI VICTORIA JIJINI DAR ES SALAAM, KUZIKWA LEO MTONI KIJICHI


Mmoja wa waasisi na viongoizi wakongwe wa CCM Hajat Kijakazi Salum Kyerula amefairiki dunia  jijini Dar es salaam jana. Taratibu za mazishi  zinafanyika mikocheni eneo la Victoria karibu na Oil com pamoja na hospitali ya Kairuki,  jijini Dar es salaam. Swala ya maiti itafanyika hapo hapo Mikocheni sambamba na swala ya Ijumaa na baadaye  maziko yatafanyika Mtoni Kijichi, kwenye makaburi ya  njia panda ya Neruka.

WASIFU WA MAREHEMU

HAJAT KIJAKAZI SALUM KYELULA NA RATIBA YA MAZISHI


Hajat  KIJAKAZI...

 

9 years ago

Global Publishers

Nape Kuzindua Filamu ya Homecoming, Century Cinema leo

Nape Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye leo anazindua filamu ya Homecoming katika Ukumbi wa Century Cinema uliopo Mlimani City.
Producer wa Homecoming Seko Shamte Mwongozaji wa filamu hiyo, Seko Shamte.  Daniel Kijo 2Mwigizaji Mkuu wa Filamu hiyo Daniel Kijo.

WAZIRI wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye leo anazindua filamu ya Homecoming katika Ukumbi wa Century Cinema uliopo Mlimani City.

Uzinduzi huo pia utaoneshwa moja kwa moja na king’amuzi cha Azam kupitia Channel yake ya Sinema...

 

10 years ago

Dewji Blog

Neno la leo: kwenda kupiga kura ni kwenda kuchagua

0,,16820284_303,00

Blogger Maggid Mjengwa.

Ndugu zangu,

Leo ni siku ya kupiga kura kwenye Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji. Huu ni Uchaguzi Muhimu sana katika nchi. Uchaguzi huu ndio MSINGI wa siasa kubwa za Kitaifa.

Siasa ya nchi inaanzia kwenye Mtaa, Kijiji na Kitongoji. Na hakika, siku ya leo ilipaswa uwe ni uchaguzi pia kwa ngazi ya Manispaa na Halmshauri, kwa maana ya kuwachagua Madiwani.

Inahusu Serikali za Mitaa ( Local Goverment). Nimepata kuandika, kuwa Mahtama Ghandhi alipata kusema, kuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani