Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JIFUNZE KUKUBALI UNAPOKOSEA!!

Ni Jumatatu nyingine tunakutana tena kwenye uwanda huu wa XXLove, mezani mada ya leo jifunze kukubali unapokosea ili kudumisha uhusiano wako. Makosa tumeumbiwa binadamu ni kweli! Ila si kukosea kwa makusudi na kukataa kwa nguvu. Hiyo inakera na inaudhi sana kwa wapenzi. Kukubali kosa siyo vibaya wala haimaanishi kwamba umeonesha udhaifu hapana bali utakuwa umetengeneza mazingira mazuri ya kujua namna ya kuishi na mpenzi wako....

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Yanga yatakiwa kukubali matokeo

Mdhamini wa klabu ya Yanga, Mama Fatuma Karume ameutaka uongozi wa klabu hiyo kukubaliana na matokeo ya uwanjani pindi wanapofungwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Lowassa: Siwezi kukubali matokeo kama..

Mgombea urais kupitia Chadema anayeungwa mkono na vyama vya Ukawa, Edward Lowassa amesema kuwa hataweza kukubali kushindwa katika kinyang’anyiro hicho mpaka itakapothibitika kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki.

 

10 years ago

Habarileo

Pinda avitaka vyama kukubali matokeo

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema demokrasia ya kweli ni kukubali ukweli, hivyo wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumapili, wanapaswa kujiandaa kisaikolojia kukubali matokeo pindi watakaposhindwa.

 

10 years ago

Habarileo

Wazee wawataka wagombea kukubali matokeo

BARAZA la wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, limewataka wagombea wote kuyakubali matokeo ya uchaguzi mkuu, baada ya kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

 

10 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili -2-

di kisichopungua miaka miwili, nimekuwa nikipitia magazeti ya Kiswahili yanayochapishwa hapa nchini. Nimegundua kuwa baadhi ya waandishi na wahariri hawako makini katika matumizi ya Kiswahili fasaha. Pamoja na juhudi zangu za kusahihisha makosa yanayojitokeza katika magazeti, bado juhudi zangu hazijazaa matunda ya kuridhisha.

 

9 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili -3

da kuomba radhi kwa wasomaji wapya wa gazeti hili kuwa baadhi ya maelezo nitakayotoa pengine ni marudio ya maelezo ya hapo awali lakini yatawasaidia wengine. Kwa hiyo makala yangu ya leo yana lengo ya kile nilichowahi kuandika hapo awali kwa kuyakosoa magazeti ya Kiswahili. Baada ya kuyachunguza nimegundua kuwa yako makosa yaliyojitokeza ambayo yanatokana na uzembe wa waandishi wa kutofanya utafiti wa kutosha kwa mada husika ambapo makosa mengine yanatokana na udhaifu katika ujuzi wa misingi...

 

10 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili 2

Kabla ya kuanza makala yangu,  napenda  kuwafahamisha  wasomaji  wangu kuwa  baadhi yao wameniletea   maoni na mawazo  kuhusu mambo mbalimbali ya  msingi katika  lugha.  Ni jambo jema  kama nitawaleteeni   mawazo  hayo  ili nanyi muweze  kuyatafakari.  Kwa mfano  mwandishi mmoja  mwenye  simu na. 0713 614058 aliniandikia,  akisema,  “ Ndugu, Mtanzania huyu asiyejiamini  katika biashara za kimataifa  kwa sababu...

 

10 years ago

Mwananchi

Jifunze Kiswahili

Ni mara chache tunasoma makala au taarifa katika magazeti na pia katika majarida na kujiridhisha kuwa muundo na mpangilio wa maneno unakuwa fasaha na sanifu. Kinachoonekana ni ukosefu wa umakini katika matumizi, maana  na tahajia sahihi za maneno.

 

9 years ago

Mwananchi

Maaskofu washukuru Mama Samia kukubali wito

Dar es Salaam. Maaskofu wa madhehebu mbalimbali wa makanisa Tanzania wamempongeza Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan kukubali kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Krismasi linalotarajiwa kufanyika Desemba 25 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani