Jinsi ya kuongeza nafasi kwenye simu yako ya Android
Kama ni mtumiaji wa simu za Android (kama mimi) lazima umekwisha kutana na jambo hili. Mara kwa mara simu yako itakupa ujumbe kuwa imejaa. Kinachosababsha simu yako kujaa mapema si simu bali ni program (applications) unazopakua na kutumia pia maudhui kama vile picha, muziki na video.
Je unawezje kuongeza nafasi kwenye simu yako ya Android? Tutatumia mfano wa Huawei Y360. Sababu ya kutumia aina hii ya simu kama mfano ni kwa vile inaaminika na kupendwa na watu wengi, japo ni simu mpya hapa...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog28 Sep
Jinsi ya kuongeza Speed kwenye simu yako
Moja kati ya matatizo ya smartphones nyingi ni kuwa speed au kasi yake huwa ndogo sana. Hii hutokea mara nyingi kama umefungua applications/programs nyingi kwa mara moja. Je unawezaje kujikwamua na hali hii?
Kuna njia mbali mbali ambazo unaweza kutumia kuondokana na tatizo la simu kufanya kazi polepole. Njia kubwa na ya uhakika ni KUNUNUA SIMU YENYE UWEZO MKUBWA.
Kununua simu yenye uwezo wa kufungua application nyingi kwa wakati mmoja bila kusumbua ndio dawa sahihi ya kuondoka na tatizo...
10 years ago
Bongo Movies27 Dec
PICHA: Hakuna Mtu Anaweza Kuchukua Nafasi Yako Kama Upo Kwenye Nafasi Yako-Lulu
Hayo ni maneno ambayo mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” aliyaandika kwa lungha ya kingereza kabla ya kuzitupia picha hizo hapo juu.
“Cant Nobody Take Your Place If You're In Your Place...!”
Kiukweli, kama utaweka chuki zako pembeni, utakubaliana na mimi kuwa Lulu ni mwigizaji anaependa na kwenda na fasheni kuwashinda waigizaji wote wa hapa bongo.
Jionee picha hizo.
By Mzee wa Ubuyu
5 years ago
BBCSwahili11 Jun
Gaurav Agrawal : 'Jinsi picha yangu ilivyoharibu simu za Android'
5 years ago
BBCSwahili16 Mar
Coronavirus: Jinsi ya kusafisha simu yako kwa njia salama
5 years ago
BBCSwahili08 Jun
Taitizo la Android: Kwa nini picha hii ni hatari kwa simu yako?
10 years ago
TZTodayTanzaniaToday : Sasa ipate kwenye simu yako
Pata TanzaniaToday Kwenye Simu yako
Maudhui na Ubora ulele katika mwonekano mpya.
TanzaniaToday Kwenye Simu yako ... ni web app yenye maudhui yote na habari zote zipatikanazo kwenye tovuti yetu , ikiwa imerahisisha kwa ajli ya simu za mkononi.
Itembelee sasa!
Kwa kutumia simu, Andika m.tanzaniatoday.co.tz
sehemu ya anwani ya browser ya simu yako ya mkononi.
9 years ago
Dewji Blog17 Sep
PoaApp hivi karibuni itakua kwenye simu yako
“PoaApp” ni application mpya ya kitanzania itakayokujia hivi karibuni kwenye simu yako. Kama mtumiaji, utakuwa na uwezo wa kuchati na marafiki zako na ndugu, kusikiliza nyimbo uzipendazo na utaweza kupata habari za kitaifa na kimataifa;vitu hivi utavipata bure kutoka “PoaApp”.
Kwa habari zaidi kutoka “PoaApp’’ tafadhali fuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kama;
*Facebook.com/PoaApp
*Twitter:@PoaApp
*Instagram:@PoaApp
Pia waweza kutembelea website yetu ya www.poaapp.co.tz ili uweze...
10 years ago
MichuziMAGAZETI, MAJARIDA NA VITABU VYOTE KWENYE SIMU YAKO YA MKONONI.
Je umekwishawahi kukwama kwenye foleni ukajutia kutobeba gazeti walau likusaidie kusogeza muda mbele? Je umekwisha wahi kutafuta chanzo cha habari za uhakika kwenye simu yako ukakikosa?
Je umekwishawahi kuambiwa kuna tangazo la kazi au tenda ila ukashindwa kuliona kwa vile lipo kwenye gazeti la siku za nyuma? Je umeshawahi kulazimika kuchoma au kutupa magazeti ya siku za nyuma kwa sababu yamejaa sana nyumbani kwako? Au je umeshawahi kuhisi kuna umuhimu wa kuona watoto wako wanachojifunza...