Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JIPATIE KITABU CHA TABIA 5 ZA WATU WALIOFANIKIWA

Kitabu kinauzwa shilingi 10,000/- tu na kwa hapa Dar es salaam kinapatikana Posta Mpya ndani ya DAR ES SALAAM BOOKSHOP au nikipigiwa simu namba 0653808032 kitawafikiwa wateja popote walipo, pia natafuta wasambazaji mikoani.  Hiki ni kitabu kinachomsaidia mtu kujitambua na kutambua vipaji alivyonayo ili aweze kuvitumia kuchagua maisha anayoyataka na baada ya hapo kimesheheni mbinu nyingi zitakazomwezesha mtu kuishi na kufanikiwa katika maamuzi aliyoyafanya. Kimeshawasaidia wengi waliokisoma. ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Haya ni mambo ambayo watu waliofanikiwa hawawezi kukuambia kazini

Huwezi kujenga mtandao imara wa kitaaluma kama hauko wazi kwa wanataaluma wenzako lakini unatakiwa kufanya hivyo kwa umakini mkubwa. Katika suala la kuwa muwazi inabidi kukumbuka kuwa vitu vingine ukiwa muwazi vinaleta madhara kwenye taaluma yako na kazi yako pia; Unapoongelea maisha yako kwa ujumla inakubidi uwake sanaa ya kimaongezi. Kama kuna kitu ambacho unajua […]

 

5 years ago

Michuzi

DKT. NDUMBARO ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO CHA RAIS NKURUNZIZA

 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akisaini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Burundi nchini leo Jijini Dar es Salaam Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Ndumbaro akisaini kitabu cha maombolezo katika ubalozi wa Burundi nchini leo Jijini Dar es Salaam. Kushoto kwake ni Balozi wa Burundi nchini, Mhe. Gervais Abayeho.  


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Damas...

 

5 years ago

Michuzi

KITABU CHA NIMEJITAKIA CHA MOHAMMED HAMMIE CHAZINDULIWA RASMI NCHINI

Hatimae kitabu cha NIMEJITAKIA kilichoandikwa na Mohammed Hammie kilichokuwa kikisubiriwa kwa hamu na wasomaji wa riwaya nchini Tanzania na Afrika Mashiriki kimetoka rasmi huku kikipokelewa kwa bashasha fasihini.

Akizungumza nasi mwandishi wa kitabu hicho Bwana Mohammed amesema kuwa tayari riwaya hiyo imeshaanza kusambazwa katika baadhi ya maeneo hapa nchini ambapo kwa mkoa wa Dar es salaam kinapatika katika duka la TPH Bookshop lililopo posta, duka la kona ya riwaya lililopo Moroko, pamoja...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU ATIA SANI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA NKURUNZIZA



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Rais wa Burundi, Pierre  Nkurunziza kwenye Ubalozi wa Burundi, Upanga jijini Dar es salaam, Juni 17, 2020. Wa pili kulia ni Balozi wa Burundi nchini, Mhe. Abayeho Gervais.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akitoa heshima baada ya kutia saini kitabu cha...

 

9 years ago

Bongo5

Kitabu kipya cha Harry Porter kipo njiani, kitakuwa cha bure

Mwandishi wa vitabu, JK Rowling anatoa kitabu kipya cha Harry Potter kupitia mtandaoni na kitakuwa cha kusoma bure. Kitabu hicho kitaendelea na historia ya familia ya kichawi ya Porter katika karne ya 12. Kitapatika kwenye tovuti ya Pottermore.com. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za […]

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA KITABU CHA KUJIFUNZA KILINGALA CHA TSHIMANGA KALALA ASSOSA NA KAVASHA CLUB JUMAPILI

Mwanamuziki mkongwe na mtunzi Tshimanga Kalala Assosa
​UZINDUZI WA KITABU NA KAVASHA CLUB...Jumapili hii tarehe 03-May-2015, mwanamuziki mkongwe Tshimanga Kalala Assosa atazindua kitabu kilichokuwa kikisubiriwa na watu wengi sana kwa muda mrefu mno.Ni kitabu cha "Jifunze LINGALA kwa Kiswahili".Uzinduzi huo utaambatana na tukio kubwa sana la wana Dar Kavasha Club pamoja na chakula cha jioni cha pamoja (dinner).Ni ndani ya ukumbi wa MRC Jumapili (03-May-2015) kuanzia saa 12 hadi saa 3 jioni....

 

9 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZOKUFUATIA KIFO CHA WAZIRI CELINA KOMBANI MIKOCHENI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akisaini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mhe. Celina Kombani kilichotoke Nchini India juzi, wakati Makamu wa Rais alipokwenda nyumbani kwa marehemu Mikocheni.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Mohammed Gharib Bilal,  akifariji watoto wa Familia ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa...

 

10 years ago

Michuzi

HESHIMA NA TABIA NJEMA HUJENGEKA KWENYE NYOYO ZA WATU- DR.SHEIN

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif, Waziri wa Habari,utamaduni, Utalii na Michezo Mh. Said Ali Mbarouk pamoja na washabiki wa Tamasha wakimshangiria Kiongozi wa Ngoma ya Utamaduni ya Lelemama akifanya vitu vyake wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Utamaduni wa Mzanibari.  Vazi lenye asili ya watu wa Kitumbatu walilokuwa wakilitumia wakati wakielekea mashambani huku mwana Mama anatembea akisuka ukili kuashiria ufundi wa utamaduni wa asili.  Muimbaji mahiri wa Visiwa vya Comoro al...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani