UZINDUZI WA KITABU CHA KUJIFUNZA KILINGALA CHA TSHIMANGA KALALA ASSOSA NA KAVASHA CLUB JUMAPILI
Mwanamuziki mkongwe na mtunzi Tshimanga Kalala Assosa
UZINDUZI WA KITABU NA KAVASHA CLUB...Jumapili hii tarehe 03-May-2015, mwanamuziki mkongwe Tshimanga Kalala Assosa atazindua kitabu kilichokuwa kikisubiriwa na watu wengi sana kwa muda mrefu mno.Ni kitabu cha "Jifunze LINGALA kwa Kiswahili".Uzinduzi huo utaambatana na tukio kubwa sana la wana Dar Kavasha Club pamoja na chakula cha jioni cha pamoja (dinner).Ni ndani ya ukumbi wa MRC Jumapili (03-May-2015) kuanzia saa 12 hadi saa 3 jioni....
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-flFUmeyN7K8/Veq1YN9mjwI/AAAAAAAAMq4/frsP9b_THa4/s72-c/Assosa6.jpg)
UZINDUZI WA KAVASHA CLUB NA KITABU CHA JIFUNZE LINGALA MTUNZI TCHIMANGA ASSOSSA
![](http://1.bp.blogspot.com/-flFUmeyN7K8/Veq1YN9mjwI/AAAAAAAAMq4/frsP9b_THa4/s640/Assosa6.jpg)
10 years ago
Habarileo14 Dec
Uzinduzi wa kitabu cha kumlinda msichana Desemba 21
KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania, Usharika wa Gide, jijini Dar es Salaam limeandaa kitabu maalumu kuhusu msichana ambacho pamoja na masuala mengine, kinalenga kumwepusha na vishawishi na kumpotezea dira ya maisha.
11 years ago
Dewji Blog20 May
Uzinduzi wa Kitabu cha “Wekeza Africa 2014″ Washington, DC
Scott Eisner (kulia)vice President of African Affairs, US Chambers of Commerce akifungua sherehe ya uzinduzi wa kitabu cha wekeza Afrika 2014 iliyofanyika US Chambers of Commerce Washington, DC siku ya Jumatatu May 19, 2014 wengine katika meza ni Balozi wa kudumu wa African Union Mhe. Amina Salum Ali na Paul Duffen ambaye ni News Desk Media.
Sherehe ya uzinduzi wa kitabu cha wekeza afrika 2014 “.invest in africa 2014″ kitabu kinachotolewa na ubalozi wa umoja wa afrika ilifanyika Jumatatu...
11 years ago
MichuziUZINDUZI WA KITABU CHA WEKEZA AFRIIKA 2014, WASHINGTON, DC
Scott Eisner (kulia)vice President of African Affairs, US Chambers of Commerce akifungua sherehe ya uzinduzi wa kitabu cha wekeza Afrika 2014 iliyofanyika US Chambers of Commerce Washington, DC siku ya Jumatatu May 19, 2014 wengine katika meza ni Balozi wa kudumu wa African Union Mhe. Amina Salum Ali na Paul Duffen ambaye ni News Desk Media.
Sherehe ya uzinduzi wa kitabu cha wekeza afrika 2014 ".invest in africa 2014" kitabu kinachotolewa na ubalozi wa umoja wa afrika ilifanyika Jumatatu...
10 years ago
Bongo Movies11 Jan
Picha:Uzinduzi Wa Kitabu Cha Kanumba Hapo Jana
NAIBU Waziri wa Kazi na Maendeleo ya Vijana, Makongoro Mahanga, jana amezindua rasmi kitabu cha marehemu Steven Charles Kanumba, Kinachoitwa ''Steven Charles Kanumba: The Great Fallen Tree'' kilichoandikwa na Emmanuel Zirimwabagabo, raia wa Congo anayeishi nchini Canada.
Akizungumza na wadau waliohudhuria hafla hiyo alisema vijana wanapaswa kutumia vipaji vyao kwa kujituma, kuthubutu na kufanya kazi kwa nguvu kama marehemu Kanumba na si kulalamika kila siku, jambo linalopelekea kuibuka...
10 years ago
GPL10 years ago
MichuziJK MGENI RASMI UZINDUZI WA KITABU CHA HISTORIA YA NCHI “PHOTOGRAPHIC BOOK”
10 years ago
MichuziBONGO MOVIE KUPAMBA UZINDUZI WA KITABU CHA MAREHEMU KANUMBA LANDMARK HOTEL
UZINDUZI wa kitabu cha msanii wa filamu hayati Steven Kanumba unatarajia kuandika historia kufuatia maandalizi yaliyopangwa anasema mratibu wa tamasha hilo Mohamed Mwikongi ‘Frank’ amesema kuwa kutakuwa na mambo muhimu sana kwa ajili ya kumuenzi msanii huyo ambaye aliitangaza Tanzania kimataifa.
“Tumepanga kufanya mambo makubwa kwa ajili ya mwenzetu na tunataka ijengeke tabia ya kuenzi wasanii mbalimbali, pesa za uzinduzi wa kitabu hiki utafungua Kanumba Foundation kwa ajili ya kusaidia...