JISHINDIE SHILINGI 50,000 KUPITIA TOVUTI YA GLOBAL PUBLISHERS
![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdgyCXWX2WCnwl6AO2dIGMoV1*ILUXDBw8gJLerJ03CizpDJlZLvOnbfL1l4Kk*abbyJ-YVX0XQxDYWLpjFZMX*c/FORUM.jpg?width=650)
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX4PzDrcxR3MAgTn3Qytsjws4l221IdPY2vT1ks-tRnpuEDZ7ggdaHb48-*mk03zr-OmdIo2Bt6s9HKl1iiytMv0/GPL_Logo_FinalWEWB.gif)
JISHINDE SHILINGI 50,000 KUPITIA GLOBAL FORUM
TUMA MADA AMBAYO UNAHISI INAKWENDA NA WAKATI NA INA MVUTO KWA WASOMAJI KATIKA GLOBAL FORUM ILIYOPO KWENYE TOVUTI YA WWW.GLOBALPUBLISHERS.INFO MTU ATAKAYETUMA MADA NZURI ITAKAYOSOMWA SANA NA KUTOLEWA MAONI ATAJISHINDIA SHILINGI 50,000 KWA WIKI. JINSI YA KUSHIRIKI:
1. LAZIMA UWE MWANACHAMA WA TOVUTI HII, KAMA SIYO JISAJILI SASA UWEZE…
10 years ago
GPL10 years ago
GPL11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/DmWKX8GKoMmmTDXPMoeR1BKT2v5Ncv27mafE5EojwcUBB3izcrRO-PsqR5ypEZoAMkQpGm5tmOHnh0ImG*euSIvA7rUW1JQe/ChelseavsArsenal2013.jpg?width=650)
JISHINDIE MUDA WA MAONGEZI WA SHILINGI 5,000 KWA KUTABIRI MECHI YA CHELSEA, ARSENAL
Kutabiri tembelea page yetu ya facebook ==> www.facebook.com/Globalpublishers MWISHO WA KUTUMA MATOKEO NI SAA 9:40 ALASIRI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Tkccsb*3vm5DilE9VqQujpxq-6-SKK9Qa1bVXFHKZQ0Bg9W9ZQKmoP6A6sALOea0mOS8KaQ*anWmSKIG1mR290mkVoEhn0i-/shilolelle.jpg)
STORI 10 ZILIZOBAMBA KUTOKA TOVUTI YA GLOBAL PUBLISHERS MWAKA 2014
Stori: Gladness Mallya
KABANG! Picha za staa wa sinema na Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole Kiuno’ zinazomuonesha live akiwa chumbani tena kitandani kimahaba na mwandani wake, Nuh Mziwanda zimevuja, Risasi Jumammosi linazo kwenye makabrasha yake. KUSOMA ZAIDI INGIA HAPA: SHILOLE LIVE CHUMBANI
Stori: Erick Evarist na Imelda Mtema
NYOTA wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Mhando… ...
10 years ago
GPLTOA MAONI YAKO KUHUSU TOVUTI MPYA YA GLOBAL PUBLISHERS
Ili kupanua wigo wa kutoa habari motomoto za mastaa, siasa, michezo na jamii tovuti yako pendwa nchini Tanzania ya www.globalpublishers.info sasa inakuja na muonekano mpya na wakuvutia. Muonekano huu unaletwa kwenu ili kwenda sambamba na mabadiliko ya teknolojia ili kukupa fursa wewe mtembeleaji wetu kuweza kupata habari mbalimbali kupitia 'Home Page' kwa urahisi zaidi kuliko mwanzo. Kama una lolote la kushauri kuhusu tovuti...
10 years ago
Bongo520 Jan
Shilingi bilioni 29,995,000,000 zinawasubiri wateja wa Vodacom kupitia promosheni ya JayMillions
Wateja wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania wametakiwa kuchangamkia promosheni ya Jaymillions kwa kutuma ujumbe wenye neno JAY kwenye namba 15544 ili kujua kama iwapo namba zao zimeibuka na ushindi katika droo inayofanyika kila siku. Akiongea baada ya kumalizika kwa droo ya sita ya promosheni hiyo ambayo ilifanyikiwa kupata washindi wa muda wa maongezi […]
10 years ago
GPLMAD ICE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS, ALONGA NA GLOBAL TV ONLINE
Mad Ice akiwa ndani ya studio za Global TV Online leo. Mad Ice akibadilishana mawazo na Mwandishi wa Global, Andrew  Carlos kabla ya mawasiliano.…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1asLTm0wi-uGZo*GRRd-yJAC8Bjm1rpmUrMnMz9n4a0Nb6tvk5cU-XpVBawOd8MVXOzzTJub8dJ2UA9n5S38SkpsiMuxe6Pz/mancityvsarsenal...jpg?width=650)
JISHINDIE MUDA WA MAONGEZI WA SH. 10,000 KWA KUTABIRI MATOKEO YA MAN CITY VS ARSENAL LEO
Tabiri matokeo ya mechi ya Ligi Kuu England leo kati ya Manchester City na Arsenal itakayopigwa saa 1 usiku kwenye Uwanja wa Etihad, Manchester City. Mtu wa kwanza kutabiri matokeo ya mchezo huo atajishindia muda wa maongezi wa shilingi 10,000 . Jinsi ya kushiriki: Ingia katika ukurasa wetu wa FACEBOOK…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania