Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK- Msitumie fedha za maendeleo kulipa posho

RAIS Jakaya Kikwete amezitaka halmashauri nchini kuepukana na vishawishi vya kutumia fedha za maendeleo ya wananchi kulipia posho za vikao vya madiwani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Lowassa kulipa posho wenyeviti wa vijiji

Pg 1FREDY AZZAH, HANANG

MGOMBEA Urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendele (Chadema), Edward Lowassa, amesema akiingia madarakani, Serikali yake itawalipa posho wenyeviti wa Serikali za vijiji, wenyeviti wa mitaa na wenyeviti wa vitongoji kwa kuwa wanafanya kazi kubwa.

Lowassa ambaye jana alifanya mikutano mitano ya kampeni   Magugu, Dongobesh, Bashinet na Haidom, aliyasema hayo akiwa kwenye mkutano wa kampeni Makondeko, Kateshi, wilayani Hanang, Mkoa wa Manyara.

“Serikali yangu ikiingia...

 

11 years ago

GPL

POSHO KWA WAWAKILISHI WA WANANCHI NI KIKWAZO CHA MAENDELEO YA TAIFA‏

Na.Mhariri wa Moblog Ingawaje Tanzania inaitwa nchi masikini pamoja na kwamba wahisani na wadau wa maendeleo wanasema ni nchi inayoendelea lakini kwa ujumla na kwa yeyote anayeijua nchi yetu kwa maana ya hali ya maisha ya wananchi wake, ni jambo la hatari kwa kikundi kidogo cha watu waliokalia ofisi za umma na kujipangia utaratibu fulani wa kujinufaisha. Kikundi hiki kidogo tena kilichochaguliwa na wananchi kama wawakilishi wao...

 

10 years ago

Vijimambo

BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO YA UCHUMI YA AFRIKA ( BADEA)YATOA DOLA ZA KIMAREKANI MILIONI 12.0 SAWA NA FEDHA ZA KITANZANIA SHILINGI BILIONI 20.1 KUSAIDIA MAENDELEO KATIKA WILAYA YA SAME NA MWANGA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile akiwa na ujumbe kutoka Tanzania wakiwa tayari kutiliana saini mkataba wa makubaliano ya mradi wa maji katika Wilaya ya Same na Mwanga. Aliye kushoto kwake ni Eng. Yousef I. Al-Bassam ambaye ni Makamu wa Mwenyekiti na Mkurugenzi Msimamizi wa mfuko wa maendeleo wa Saudia.Fedha hizo zimetoka BADEA.Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa Serikali Dr. Servacius Likwelile akitia saini makubaliano ya...

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAITAKA SERIKALI KUONGEZA FEDHA ZA MIRADI YA MAENDELEO YA JAMII

Na Mwandishi Wetu Arusha

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imeitaka Serikali kuongeza na kutoa fedha za miradi ya maendeleo ya jamii katika Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru na Vyuo vya Maendeleo ya Jamii nchini.

Akitoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inayosimamia Taasisi ya Maendeleo ya Jamii leo tarehe 16/03/2020 mkoani Arusha Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Peter Serukamba ametaka ...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YATENGA FEDHA KULIPA MADENI YA WATUMISHI YALIYO HAKIKIWA


Na. Farida Ramadhani na Peter Haule, WFM, Dodoma Serikali imesema kuwa imetenga Sh. bilioni 600 kwa ajili ya kulipa madeni yaliyohakikiwa ya Watumishi wa umma kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ikiwa ni moja ya mkakati wa kuleta nidhamu na uwajibikaji katika matumizi ya fedha za umma. Hayo yameelezwa jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, alipokuwa akijibu swali la msingi la Mbunge wa Bumbwini, Mhe. Muhammed Amour Muhammed, aliyetaka kujua ni lini Serikali...

 

10 years ago

Mwananchi

Posho zakwamisha Kamati za Bunge zakwama posho

Ofisi ya Bunge imesema baadhi ya kamati zake zitalazimika kumalizia shughuli zake katika ofisi zao za Dar es Salaam, kwa kuwa haiwezi kuziwezesha zote kusafiri kwa ajili ya ukaguzi maeneo mbalimbali ya nchi.

 

9 years ago

Raia Mwema

Posho ya siku ni posho ya kujikimu siyo ya kujikirimia

Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Hidaya

 

5 years ago

CCM Blog

MAHAKAMA YA KISUTU YAWATIA HATIANI KINA MBOWE, YAWAHUKUMU KILA MMOJA KIFUNGO CHA MIAKA MITANO JELA AU KULIPA FAINI YA MAMILIONI YA FEDHA

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na washitakiwa wenzake wakiwa Mahakamani leo. Mwenye nguo nyeusi ni Maalim Seif Sharif Hamad.
KISUTU, Dar es SalaamMahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Jijini Dar es Salaam, imewatia hatiani viongozi wanane wa Chadema na Katibu Mkuu wa zamani wa chama hicho Dk. Vicent Mashinji, katika mashtaka 12 kati ya 13 yaliyokuwa yanawakabili, isipokuwa shtaka la kwanza la kula njama.
Akisoma hukumu kwa washtakiwa hao, Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo Thomas Simba,...

 

5 years ago

Michuzi

WALIOKWEPA KULIPA KODI WAHUKUMIWA KULIPA BILIONI 1.5 BAADA YA KUKILI KOSA


Na Karama Kenyunko Michuzi TV,  
ALIYEKUWA Rais wa Kampuni ya Acacia, Deodatus Mwanyika na wenzake wamehukumiwa kulipa fidia ya Sh bilioni 1.5 baada ya kukiri mashitaka ya kukwepa kulipa kodi.
Pia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kulipa faini ya Sh milioni 1.5 1 ama kutumikia kifungo cha miezi minne gerezani iwapo watashindwa kulipa faini hiyo.

Mbali na Mwanyika washitakiwa wengine ni Meneja Uhusiano wa Mgodi wa Bulyanhulu, Alex Lugendo,  Mkurugenzi mtendaji wa mgodi wa Pongea, North...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani