JK achochea upimaji virusi
NA SULEIMAN JONGO, DODOMA
SERIKALI imempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kuongeza hamasa ya upimaji virusi vya ukimwi na kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa huo.Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Jenista Mhagama, aliyasema hayo jana bungeni mjini hapa wakati akiwasilisha muswada wa marekebisho ya sheria ya Tume ya Kudhibiti Ukimwi wa mwaka 2014.Alisema uamuzi wa Rais Kikwete na mkewe, Mama Salma Kikwete, kujitokeza hadhari kupima afya zao mwaka 2007, kuliongeza...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Dec
Kikwete achochea mjadala Escrow
10 years ago
Tanzania Daima14 Oct
Mwenyekiti CCM Geita achochea vurugu
SIKU chache tangu wananchi waliovamia eneo la Nyantorotoro kutakiwa kuondoka mara moja kumpisha mwekezaji mwenye leseni Majaliwa Maziku kufanya shughuli zake, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita Joseph Msukuma amewahamasisha...
5 years ago
BBCSwahili03 Apr
Virusi vya corona: Je maambukizi ya mwisho ya virusi hivyo yatafanyika wapi?
5 years ago
BBCSwahili17 Apr
Virusi vya corona: Ukipona virusi hivi waweza kuvipata tena?
5 years ago
BBCSwahili16 May
Virusi vya corona: Simulizi ya mlimbwende wa zamani wa Rwanda aliyepona virusi
5 years ago
BBCSwahili19 Apr
Virusi vya corona: Humchukua muda gani mgonjwa wa virusi kupona?
5 years ago
BBCSwahili18 Apr
Virusi vya corona: Je wanyama wanaofugwa wana hatari ya kusambaza virusi?
5 years ago
BBCSwahili09 Apr
Virusi vya corona: Wanasayansi waelezea chanzo cha virusi hivyo
5 years ago
BBCSwahili10 Apr
Virusi vya corona: Je miale ya jua inauwa virusi hivi hatari?