Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK afungua jengo Ikulu

RAIS Jakaya Kikwete amefungua rasmi jengo la shughuli nyingi la Ikulu katika moja ya shughuli zake za kwanza baada ya kuanza rasmi kazi, kutokana na upasuaji mwezi uliopita.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

JK afungua jengo la NSSF la kitega uchumi Moshi

  NSSF Kilimanjaro Commercial Complex mjini Moshi,Mkoani Kilimanjaro  Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Kazi na ajira Mh.Gaudensia Kabaka(watano kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt.Ramadhani Dau(wapili kulia), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama(wapili kushoto) pamoja na viongozi na wadau wengine wakikata utepe kufungua rasmi jengo la kitega uchumi la NSSF Kilimanjaro Commercial Complex mjini Moshi,Mkoani Kilimanjaro leo. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF...

 

10 years ago

GPL

JK AFUNGUA JENGO LA NSSF LA KITEGA UCHUMI MOSHI

NSSF Kilimanjaro Commercial Complex mjini Moshi,Mkoani Kilimanjaro . Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Kazi na ajira Mh.Gaudensia Kabaka(watano kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa NSSF Dkt.Ramadhani Dau(wapili kulia), Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama(wapili kushoto) pamoja na viongozi na wadau wengine wakikata utepe kufungua rasmi jengo la kitega uchumi la… ...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete afungua jengo la PPF Mwanza

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi jengo la kitega uchumi la mfuko wa pensheni la PPF mjini Mwanza jana jioni.Wengine katika picha kutoka kushoto,ni Waziri wa Ujenzi Dkt.John Pombe Magufuli, Mkurugenzi Mkuu wa PPF Bwana Wiliam Erio, Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Adam Malima, Mwenyekiti wa Bodi ya PPF Bwana Ramadhani Kija, na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhandisi Evaristi Ndikilo. Jengo la Kitega uchumi la mfuko wa pensheni wa PPF lililozinduliwa rasmi na Rais Dkt.Jakaya...

 

11 years ago

Habarileo

Hukumu ya jengo refu jirani na Ikulu leo

HUKUMU ya kesi ya matumizi mabaya ya ofisi katika utoaji wa kibali cha ujenzi wa jengo la ghorofa 18 karibu na Ikulu Dar es Salaam, inayowakabili vigogo wawili wa Wakala wa Ujenzi, inatarajiwa kutolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

11 years ago

Mwananchi

Mahakama yaamuru jengo karibu na Ikulu lipunguzwe urefu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Makumba Kimweri na Msanifu Mkuu, Richard Maliyaga, kila mmoja kulipa faini ya Sh15 milioni au kwenda jela miaka tisa baada ya kuwatia hatiani kwa matumizi mabaya ya madaraka na kuruhusu ujenzi wa jengo la ghorofa 18 karibu na Ikulu.

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFUNGUA JENGO LA AFISI KUU YA UHAMIAJI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Tanzania Sylvester Ambokile Mwakinyule wakati alipowasili kulifungua Jengo la Afisi Kuu ya Uhamiaji Zanzibar leo liliopo Kilimani Mjini Zanzibar akimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kama ishara ya ufunguzi wa Jengo la Afisi Kuu ya Uhamiaji...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete afungua jengo la NSSF la kitega uchumi Moshi

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua jengo la upasuaji katika hospitali ya rufaa ya Mawenzi mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro muda mfupi baada ya kulifungua leo.Kulia ni Naibu Waziri wa Afya Dkt.Steven Kebwe. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wauguzi wa hospitali ya rufaa ya Mawenzi mjini Moshi muda mfupi baada ya kufungua jengo la upasuaji na kuweka jiwe la msingi kuzindua ujenzi wa wodi ya mama na watoto katika hospitali hiyo leo.(wanne kulia ni...

 

10 years ago

Michuzi

DKT. SHEIN AFUNGUA JENGO LA OFISI YA MDHIBITI WA HESABU ZA SERIKALI,PEMBA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kulifungua Jengo la Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Wete Pemba (kushoto) Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu es Hesabu za Serikali Bi Fatma Mohamed Said (kulia kwa Rais Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya ufunguzi wa Jengo la Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu ...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN AFUNGUA JENGO JPYA LA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA

1Rais wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa Jengo jipya la Wizara Katiba na Sheria liliopo Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar Oktoba 6, 2015.
2Rais wa Zanzibar wa Zanzbar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikata utepe kulifungua Jengo jipya la Wizara ya Katiba na Sheria liliopo Mazizini Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar Oktoba 6, 2015 ,(kushoto) Waziri wa Katiba na Sheria...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani