Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hukumu ya jengo refu jirani na Ikulu leo

HUKUMU ya kesi ya matumizi mabaya ya ofisi katika utoaji wa kibali cha ujenzi wa jengo la ghorofa 18 karibu na Ikulu Dar es Salaam, inayowakabili vigogo wawili wa Wakala wa Ujenzi, inatarajiwa kutolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Burj Khalifa:Jengo refu kuliko yote dunia

Kwa hesabu za haraka haraka, urefu wa mita 829.8 (sawa na futi 2,722) ni sawa sawa na viwanja vinane vya mpira wa miguu.

 

9 years ago

Vijimambo

Jengo refu zaidi lililokamilika Afrika Mashariki na Kati lazinduliwa nchini Tanzania.


Jengo refu zaidi lililokamilika Afrika Mashariki na Kati lazinduliwa nchini Tanzania.
PSPF Towers ni moja ya majengo machache marefu barani Afrika na ndiyo jengo refu zaidi LILILOKAMILIKA Afrika Mashariki na Kati, likiwa na urefu wa mita 147.Majengo mengine marefu Afrika ni Carlton Centre (mita 223) lililopo Afrika Kusini, Hassan II Mosque (mita 210) lililopo Moroko, Ponte City (mita 173) lililopo Afrika Kusini, Necon House (Mita 160) lililopo Nigeria, Marble Tower (mita 152), Pear dawn (mita...

 

10 years ago

Vijimambo

JENGO REFU NCHI UKANDA WA MAZIWA MAKUU NA LA NNE KWA UREFU AFRIKA

Hili ndilo jengo refu kuliko yote katika nchi zilizopo katika ukanda wa maziwa makuu katika bara la Afrika na pia ni la nne kwa urefu Afrika nzima. Jengo hili linamilikiwa na Mfukowa Pensheni wa PSPF

 

10 years ago

Habarileo

JK afungua jengo Ikulu

RAIS Jakaya Kikwete amefungua rasmi jengo la shughuli nyingi la Ikulu katika moja ya shughuli zake za kwanza baada ya kuanza rasmi kazi, kutokana na upasuaji mwezi uliopita.

 

11 years ago

Mwananchi

Mahakama yaamuru jengo karibu na Ikulu lipunguzwe urefu

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), Makumba Kimweri na Msanifu Mkuu, Richard Maliyaga, kila mmoja kulipa faini ya Sh15 milioni au kwenda jela miaka tisa baada ya kuwatia hatiani kwa matumizi mabaya ya madaraka na kuruhusu ujenzi wa jengo la ghorofa 18 karibu na Ikulu.

 

10 years ago

GPL

HUKUMU YA MORSI LEO

Mohammed Morsi. MAHAKAMA nchini Misri inatarajia kutoa hukumu kwenye kesi kadhaa zinazomkabili rais wa zamani, Mohammed Morsi ambaye aliondolewa madarakani na jeshi mwaka 2013. Mosri anakabiliwa na kesi pamoja na viongozi wengine wa Kundi la Muslim Brotherhood kwa kuwachochea wafuasi kumuua mwandishi wa habari na waandamanaji wa upinzani wakati wa makabiliano nje ya ikulu ya rais mwaka 2012. Mawakili wanaomtetea Mosri wanasema...

 

11 years ago

Habarileo

Hukumu kesi ya Liyumba leo

HUKUMU ya kesi ya kukutwa na simu gerezani inayomkabili aliyekuwa Mkurugenzi wa Utumishi na Utawala wa Benki Kuu (BoT), Amatus Liyumba inatolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

Habarileo

Hukumu ya Mramba na wenzake leo

Waziri wa zamani wa Fedha, Basil MrambaHUKUMU ya kesi ya kuisababishia Serikali hasara ya Sh bilioni 11.7 inayowakabili Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba, Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Gray Mgonja inatarajiwa kutolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani