Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Burj Khalifa:Jengo refu kuliko yote dunia

Kwa hesabu za haraka haraka, urefu wa mita 829.8 (sawa na futi 2,722) ni sawa sawa na viwanja vinane vya mpira wa miguu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Hukumu ya jengo refu jirani na Ikulu leo

HUKUMU ya kesi ya matumizi mabaya ya ofisi katika utoaji wa kibali cha ujenzi wa jengo la ghorofa 18 karibu na Ikulu Dar es Salaam, inayowakabili vigogo wawili wa Wakala wa Ujenzi, inatarajiwa kutolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Vijimambo

Jengo refu zaidi lililokamilika Afrika Mashariki na Kati lazinduliwa nchini Tanzania.


Jengo refu zaidi lililokamilika Afrika Mashariki na Kati lazinduliwa nchini Tanzania.
PSPF Towers ni moja ya majengo machache marefu barani Afrika na ndiyo jengo refu zaidi LILILOKAMILIKA Afrika Mashariki na Kati, likiwa na urefu wa mita 147.Majengo mengine marefu Afrika ni Carlton Centre (mita 223) lililopo Afrika Kusini, Hassan II Mosque (mita 210) lililopo Moroko, Ponte City (mita 173) lililopo Afrika Kusini, Necon House (Mita 160) lililopo Nigeria, Marble Tower (mita 152), Pear dawn (mita...

 

10 years ago

Vijimambo

JENGO REFU NCHI UKANDA WA MAZIWA MAKUU NA LA NNE KWA UREFU AFRIKA

Hili ndilo jengo refu kuliko yote katika nchi zilizopo katika ukanda wa maziwa makuu katika bara la Afrika na pia ni la nne kwa urefu Afrika nzima. Jengo hili linamilikiwa na Mfukowa Pensheni wa PSPF

 

9 years ago

Bongo5

Music: Wiz Khalifa atoa mixtape mpya, ‘Cabin Fever 3’ isikilize yote hapa!

wizwizi1

Staa wa muziki wa Hip Hop Marekani, Wiz Khalifa ameachia mixtape yake mpya ‘Cabin Fever 3’ na kutimiza ahadi kwa mashabiki wake.

wizwizi1

Rapper huyo anatarajia kuachia album yake ijayo, Rolling Papers 2 mwakani, 2016.

Cabin Fever 3 ina nyimbo 11 na huu ni muendelezo wa mixtape yake ya mwaka 2012, Cabin Fever 2.

Kwenye Cabin Fever 3 amewashirikisha wasanii kama Juicy J, K Camp, Kevin Gates, Curren$y, Problem, Chevy Woods na King Los. Producers waliosaidia kukamilisha project hii ni pamoja na TM88,...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mwanza ni chafu kuliko majiji yote’

Mwanza. Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, imesema taarifa ya miradi ya maendeleo ya Jiji la Mwanza  ni mbaya kuliko za majiji mengine yote. Hivyo imetoa siku 90 kwa halmashauri hiyo kuandaa taarifa mpya na sahihi.

 

9 years ago

MillardAyo

Shabiki wa HipHop? Wiz Khalifa anakuletea hii mpya, ‘Cabin Fever 3’ isikilize yote hapa! – (Audio).

Wiki moja baada ya kuisogeza tracklist ya mixtape yake mpya, Cabin Fever 3 staa wa muziki wa HipHop Marekani, Wiz Khalifa anatimiza ahadi kwa mashabiki wake kwa kuisogeza mixtape hiyo kwenye masikio yetu. Cabin Fever 3 inabeba nyimbo 11 na huu ni muendelezo wa mixtape yake ya mwaka 2012, Cabin Fever 2… Cabin Fever 3 […]

The post Shabiki wa HipHop? Wiz Khalifa anakuletea hii mpya, ‘Cabin Fever 3’ isikilize yote hapa! – (Audio). appeared first on TZA_MillardAyo.

 

10 years ago

Michuzi

mona lisa: mchoro maarufu kuliko yote duniani

Mona Lisa (pia huitwa La Giocconda ambayo kwa Kitaliano ina maana ya furaha au mwanamke mwenye furaha tele) ni mchoro wa mwanzoni mwa karne ya kumi na sita uliochorwa na mchoraji mashuhuri duniaLeonardo da Vinci. Inaaminika kuwa ni mmoja kati ya michoro mashuhuri duniani. Mchoro huu unapatikana katika jumba la maonyesha (makumbusho) la mjini Paris maarufu kama Louvre. Nat King Cole aliutungia wimbo mchoro huu ambao sifa zake si za kawaida

 

10 years ago

Bongo5

Linex: Nimeingiza mkwanja mrefu mwaka 2014 kuliko miaka yote

Mwaka 2014 umekuwa wenye neema kuliko miaka yote kwa Linex Sunday Mjeda kwakuwa anadai ameingiza mkwanja mrefu zaidi. Linex ameiambia Bongo5 kuwa anafikiri yeye ni msanii pekee aliyefanya matangazo mengi ya biashara ya redio kuliko wasanii wote wa Tanzania. “Toka nimeanza kufanya Bongo Flava, hakuna mwaka nimefanikiwa kama mwaka huu,” amesema Linex. “Mwaka huu nimefanya […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamba atunzwa kwao apata wadhamini kuliko mikoa yote aliyopita

Mh January Makamba alikua katika mkoa wa Tanga alipokulia na kuzaliwa, wakazi wengi wa Tanga Walijitokeza Kumpokea kwa Shangwe nyingi.

Wananchi wa mkoa wa Tanga wamejitokeza watu wengi kumdhamini kuliko mikoa yote aliyopita ambapo jumla ya watu 15,043 wamejitokeza kwenye ofisi kuu za Chama cha Mapinduzi CCM mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini wa fomu kuomba kuteuliwa na chama hicho kuwania urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015……Fuatilia matukio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani