Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Linex: Nimeingiza mkwanja mrefu mwaka 2014 kuliko miaka yote

Mwaka 2014 umekuwa wenye neema kuliko miaka yote kwa Linex Sunday Mjeda kwakuwa anadai ameingiza mkwanja mrefu zaidi. Linex ameiambia Bongo5 kuwa anafikiri yeye ni msanii pekee aliyefanya matangazo mengi ya biashara ya redio kuliko wasanii wote wa Tanzania. “Toka nimeanza kufanya Bongo Flava, hakuna mwaka nimefanikiwa kama mwaka huu,” amesema Linex. “Mwaka huu nimefanya […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Kala: Mwaka huu nimeingiza kipato kikubwa kuliko miaka yote. Akanusha kupotea kwenye game

Hit maker wa ‘Dear God’, Kala Jeremiah amepinga vikali kuwa amepotea kwenye game toka alivyohit na wimbo wa ‘Dear God’, huku akidai kuwa huu ndio mwaka ambao ameingiza pesa nyingi kuliko miaka mingine aliyokaa kwenye muziki. Akizungumza na Bongo5 leo, Kala amesema licha ya kutoonekana akifanya show kwa wingi mwaka huu, lakini ameingia mikataba mingi […]

 

10 years ago

Mwananchi

Gisele Bundchen:Mwanamitindo anayevuta ‘mkwanja’ mrefu zaidi

Fani ya mitindo imekuwa haipewi kipaumbele kikubwa nchini Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki kwa jumla.

 

10 years ago

Mwananchi

Hugh Masekela, mpiga tarumbeta mwenye mkwanja mrefu barani Afrika

Hugh Masekela linaweza kuwa jina geni kwa vijana, lakini kwa wafuatiliaji wa muziki wa Jazz wanamfahamu vyema nyota huyu.

 

9 years ago

Bongo5

Lil Wayne adai Birdman amewaibia Drake, Nicki Minaj na Tyga mkwanja mrefu

Ugomvi kati ya Young Money na Cash Money unaendelea kuwa mkubwa zaidi baada ya Lil Wayne kutoa madai mapya. Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Wayne anadai kuwa na maelezo kutoka kwa wawakilishi wa Drake na Tyga yakisema wameibiwa fedha nyingi. Kwa upande wa Nicki Minaj, anadai kuwa Young Money imemfanyia uhuni kwa kushindwa kuwalipa […]

 

9 years ago

MillardAyo

Hizi ndio single mbili za Matonya zilizompa mkwanja mrefu katika maisha yake ya muziki…..

Ninajua nina watu wangu ambao mtakuwa na hamu ya kufahamu stori za wasanii waliokuwa wakitamba enzi zile, sasa hapa stori ninayotaka kukusogezea ni hii kutoka kwa msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Seif Shaban aka Matonya ambaye amefunguka kuhusiana na single mbili zilizompa mkwanja mrefu katika historia yake ya muziki. Akiongea exclusive interview na ripota wa […]

The post Hizi ndio single mbili za Matonya zilizompa mkwanja mrefu katika maisha yake ya muziki….. appeared first on...

 

10 years ago

Bongo5

Linex: Mimi sijawahi kua mvuta bangi maisha yangu yote na kama ninavuta Mungu ananiona

Kuna baadhi ya watu ambao huamini kuwa mtu akishakuwa msanii wa muziki ni lazima atakua mtumiaji wa vilevi kama bangi, na wapo wanaoamini kuwa binti akishaingia kwenye sanaa ya urembo pia ni lazima atajihusisha na umalaya, kitu ambacho si kweli kwasababu hiyo ni tabia ya mtu binafsi. Linex Sunday Mjeda leo ameamua kujibu swali ambalo […]

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mwanza ni chafu kuliko majiji yote’

Mwanza. Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, imesema taarifa ya miradi ya maendeleo ya Jiji la Mwanza  ni mbaya kuliko za majiji mengine yote. Hivyo imetoa siku 90 kwa halmashauri hiyo kuandaa taarifa mpya na sahihi.

 

10 years ago

Michuzi

mona lisa: mchoro maarufu kuliko yote duniani

Mona Lisa (pia huitwa La Giocconda ambayo kwa Kitaliano ina maana ya furaha au mwanamke mwenye furaha tele) ni mchoro wa mwanzoni mwa karne ya kumi na sita uliochorwa na mchoraji mashuhuri duniaLeonardo da Vinci. Inaaminika kuwa ni mmoja kati ya michoro mashuhuri duniani. Mchoro huu unapatikana katika jumba la maonyesha (makumbusho) la mjini Paris maarufu kama Louvre. Nat King Cole aliutungia wimbo mchoro huu ambao sifa zake si za kawaida

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani