Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kala: Mwaka huu nimeingiza kipato kikubwa kuliko miaka yote. Akanusha kupotea kwenye game

Hit maker wa ‘Dear God’, Kala Jeremiah amepinga vikali kuwa amepotea kwenye game toka alivyohit na wimbo wa ‘Dear God’, huku akidai kuwa huu ndio mwaka ambao ameingiza pesa nyingi kuliko miaka mingine aliyokaa kwenye muziki. Akizungumza na Bongo5 leo, Kala amesema licha ya kutoonekana akifanya show kwa wingi mwaka huu, lakini ameingia mikataba mingi […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Linex: Nimeingiza mkwanja mrefu mwaka 2014 kuliko miaka yote

Mwaka 2014 umekuwa wenye neema kuliko miaka yote kwa Linex Sunday Mjeda kwakuwa anadai ameingiza mkwanja mrefu zaidi. Linex ameiambia Bongo5 kuwa anafikiri yeye ni msanii pekee aliyefanya matangazo mengi ya biashara ya redio kuliko wasanii wote wa Tanzania. “Toka nimeanza kufanya Bongo Flava, hakuna mwaka nimefanikiwa kama mwaka huu,” amesema Linex. “Mwaka huu nimefanya […]

 

11 years ago

CloudsFM

BAADA YA KUWA KWENYE ‘GAME’ KWA MIAKA 15,DULLY SYKES AKUMBUKA ALIVYOMFUNIKA TID MWAKA 2002

Jana kupitia xxl clouds fm msanii wa Bongo Fleva, Prince Dully Sykes alisema kuwa ameitumikia tasnia hiyo kwa miaka 15 mpaka sasa, alifunguka kuwa moja kati ya vitu anavyovikumbuka ndani ya miaka 15 ni siku aliyomfunika msanii mwenzake katika tasnia hiyo TID kwenye shoo waliyoshindanishwa mwaka 2002 ilifanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam.Jana hiyo hiyo Mzee Mnyama akajibu mapigo, sasa baada ya hapo Dully naye akataka kuweka mambo sawa.

 

11 years ago

Zitto Kabwe, MB

Mkataba wa Gesi umevuja: #Tanzania kupoteza shs 1.6 trilioni kwa mwaka — #Norway kujirudishia misaada yake yote nchini kupitia mkataba huu

Mkataba wa Gesi umevuja: Tanzania kupoteza shs 1.6 trilioni kwa mwaka

-       Norway kujirudishia misaada yake yote nchini kupitia mkataba huu

 Zitto Kabwe, Mb

Mkataba wa mgawanyo wa mapato yanayotokana na uzalishaji wa Gesi Asilia (PSA) kati ya Shirika la Mafuta na Gesi Tanzania na Kampuni ya Mafuta ya Norway umevujishwa (https://onedrive.live.com/view.aspx?cid=0EC42B180C06D0B8&resid=EC42B180C06D0B8%21107&app=WordPdf). Toka Mkataba huo uvuje na kuanza mijadala kwenye mitandao ya kijamii,...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tamasha la Pasaka mwaka huu litahusisha michezo pia, linatimiza miaka 15

34

Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake zilizopo Kinondoni Moroco wakati akielezea maadalizi ya tamasha hilo kwa mwaka huu, ambapo amesema tamasha hilo mwaka huu pamoja na kuwepo waimbajiwa muziki wa injili mbalimbali kutoka hapa nchini na nje ya nchi pia itakuwepo michezo mbalimbali ikiwa pia ni maadhimisho ya miaka 15 toka kuanzishwa kwa tamasha hilo.

351

Alex Msama akisisitiza jambo katika...

 

11 years ago

Mwananchi

‘Mwanza ni chafu kuliko majiji yote’

Mwanza. Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, imesema taarifa ya miradi ya maendeleo ya Jiji la Mwanza  ni mbaya kuliko za majiji mengine yote. Hivyo imetoa siku 90 kwa halmashauri hiyo kuandaa taarifa mpya na sahihi.

 

10 years ago

Michuzi

mona lisa: mchoro maarufu kuliko yote duniani

Mona Lisa (pia huitwa La Giocconda ambayo kwa Kitaliano ina maana ya furaha au mwanamke mwenye furaha tele) ni mchoro wa mwanzoni mwa karne ya kumi na sita uliochorwa na mchoraji mashuhuri duniaLeonardo da Vinci. Inaaminika kuwa ni mmoja kati ya michoro mashuhuri duniani. Mchoro huu unapatikana katika jumba la maonyesha (makumbusho) la mjini Paris maarufu kama Louvre. Nat King Cole aliutungia wimbo mchoro huu ambao sifa zake si za kawaida

 

10 years ago

Mwananchi

Burj Khalifa:Jengo refu kuliko yote dunia

Kwa hesabu za haraka haraka, urefu wa mita 829.8 (sawa na futi 2,722) ni sawa sawa na viwanja vinane vya mpira wa miguu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani