JK AKIONGEA MUDA HUU LIVE UKUMBI WA PTA SABASABA DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho \kikwete akiongea na Taifa kupitia mkutano wa UVCCM baada ya kupokea maandamano yao ukumbi wa PTA katika viwanja vya SabaSaba jijini Dar es salaam muda huu. Matangazo haya yanarushwa moja kwa moja na TBC.
KUFUATILIA MATANGAZO HAYA BOFYA HAPA
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi19 Apr
MABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA LEO UKUMBI WA PTA SABASABA, DAR ES SALAAM
11 years ago
GPLMABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA LEO PTA SABASABA, DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi
11 years ago
GPLKHADIJA KOPA AKIFANYA YAKE MUDA HUU DAR LIVE
10 years ago
VijimamboJUMA NATURE NA WENZAKE KUITEKA DAR ES SALAAM KATIKA TAMASHA LA KOMAA LITAKALOFANYIKA JUMAMOSI UKUMBI WA DAR LIVE MBAGALA
10 years ago
VijimamboSABASABA WINDHOEK LUNCH PARTY ILIVYOJUMUISHA WADAU WA VIP WAKITAIFA NA KIMATAIFA KATIKA UKUMBI WA DANKEN HOUSE MIKOCHENI JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
Dewji Blog23 Oct
Watu watano wanusurika katika ajali ya gari katikati ya jiji la Dar es Salaam muda huu!
Pichani ni min bus iliyokuwa na namba T 111 AAL, ikionekana imeharibika kwa mbele baada ya kugongana na gari aina ya Noah yenye namba T446DDJ iliyogongwa ubavuni. Min Bus ilikuwa na watu wanne hata hivyo katika ajali hiyo watu hao walipatwa na mishtuko pekee na maumivu kiasi. (Picha na Andrew Chale, Modewjiblog).
Gari aina ya Noah linavyoonekana ubavuni baada ya ajari hiyo.. iliyotokea katikati ya jiji katika eneo la jirani na Bnki ya NMB House na Shirika la Bima ya Taifa la Afya..