JK ametuwakilisha vyema mazishi ya Mandela
Yeyote aliyefuatilia kwa makini hotuba ya Rais Jakaya Kikwete katika mazishi ya aliyekuwa Rais wa kwanza mzalendo wa Afrika Kusini siku mbili zilizopita, atakubali ukweli kwamba hotuba hiyo ilikuwa ya pekee na iliteka hisia za mamilioni ya watu katika nchi nyingi duniani.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili15 Dec
Mazishi ya Mandela
Mazishi ya Hayati Mandela yanaendelea kumuaga mtu aliyefahamika kama shujaa na mpigania uhuru
11 years ago
BBCSwahili15 Dec
Mazishi ya Mandela Qunu
Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amezikwa nyumbani kwao katika kijiji cha Qunu, katika mkoa wa Cape Mashariki.
11 years ago
BBCSwahili15 Dec
Mazishi ya Mandela: Kauli yako
Haya ni matukio kama yanavyojiri kwenye mazishi ya hayati Nelson Mandela. Na wewe una fursa ya kutoa kauli yako kuhusu matuiko haya
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6vIMLmuhUcr4HNrkKJFVJiKG3vxoNe9DyjLEoQ-y8sJQB66QV1wiOxu5xAXm2OVRzvKbBJwZ0Bz340nIUzklspn9xlsEtw5u/madiba.jpg?width=650)
MAZISHI YA MANDELA, DUNIA KIMYA
Stori: Oscar Ndauka na Ojuku Abraham
DUNIA ipo kimya wakati maandalizi ya kuupumzisha kaburini mwili wa aliyekuwa rais wa kwanza mweusi wa Afrika Kusini, Nelson Mandela yakiendelea katika miji ya Johannesburg, Pretoria na kijijini Qunu, Mkoa wa Mthatha jimboni Eastern Cape atakozikwa kijijini atakakozikwa. UKIMYA WATANDA KWENYE TELEVISHENI
Ukimya uliendelea kutawala juzi na jana katika miji mbalimbali duniani, watu...
11 years ago
BBCSwahili19 Dec
Mkalimani wa mazishi ya Mandela alazwa
Mkalimani wa lugha ya ishara katika mazishi ya kitaifa,ya Nelson Mandela,amelazwa katika hospitali ya magonjwa ya akili.
11 years ago
BBCSwahili13 May
11 years ago
Mwananchi09 Dec
Utaratibu wa mazishi ya Mandela huu hapa
Kamati ya Maandalizi ya Mazishi ya Kiongozi wa Wazalendo wa Afrika Kusini,Nelson Mandela imeanza kupanga utaratibu wa mapokezi ya wageni mashuhuri watakaohudhuria mazishi ya kiongozi huyo nchini Afrika Kusini.
11 years ago
GPL![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2013/12/15/article-2523695-1A1E091500000578-382_472x674.jpg)
RATIBA MAZISHI YA MANDELA MCHANA HUU.
ATE FUNERAL PROGRAMME FOR THE LATE FORMER PRESIDENT AT HOME Family Valedictory Service - Rev V Nyobole Opening DevotionsÂ
Viewing of the body;Â Â Homily;Â Draping of the casket;Â Placing of the casket on the gun carriage and forming up of procession;Â Procession departs for the marquee MARQUEE SERVICE Funeral Service
National Anthem; Opening devotions: Bishop D Dabula… ...
11 years ago
BBCSwahili27 Jan
ANC ilifuja pesa za mazishi ya Mandela
Upinzani nchini Afrika Kusini unataka uchunguzi kufanywa kuhusiana na madai ya ubadhirifu wa pesa za mazishi ya hayati Nelson Mandela.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania