Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mazishi ya Mandela: Kauli yako

Haya ni matukio kama yanavyojiri kwenye mazishi ya hayati Nelson Mandela. Na wewe una fursa ya kutoa kauli yako kuhusu matuiko haya

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Siku ya Valentine? Kauli yako

Wengi wanasema siku ya leo ndio siku ya kuonyeshana mapenzi 'Moto Moto': Uhusiano wako na mpenzi wako unauzungumzia vipi?

 

10 years ago

GPL

GWAJIMA KAULI YAKO HAIKUWA YA KICHUNGAJI

KWAKO Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Pole sana kwa masaibu yaliyokupata na bila shaka, Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema, atakujaalia afya njema hivi karibuni.
Binafsi mimi mwananchi wa kawaida  nisiyekuwa na cheo chochote cha dini wala siasa, ni mzima wa afya na ninaendelea na shughuli zangu za kila siku likiwemo hili la kukuandikia wewe barua. Kama ulikuwa hufahamu, kupitia hii barua...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kauli yako: Nini kinakufurahisha zaidi?

Leo ni siku ya kimataifa ya furaha duniani...ulikijua hicho? unathamini nini zaidi maishani mwako?

 

11 years ago

BBCSwahili

Mazishi ya Mandela

Mazishi ya Hayati Mandela yanaendelea kumuaga mtu aliyefahamika kama shujaa na mpigania uhuru

 

11 years ago

BBCSwahili

Kauli yako: Katiba ndio suluhu Misri?

Wananchi wa Misri leo wanapigia kura katiba mpya . Je unadhani ndio itakuwa suluhu la kisiasa kwa nchi hiyo inayoyumba kisiasa?

 

11 years ago

BBCSwahili

Mazishi ya Mandela Qunu

Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela, amezikwa nyumbani kwao katika kijiji cha Qunu, katika mkoa wa Cape Mashariki.

 

9 years ago

BBCSwahili

Je utakubali kuigiza mazishi yako ?

Wafanyikazi Korea Kusini wanaigiza mazishi yao katika mpango unaolenga kupunguza msongo wa mawazo na idadi kubwa ya kujitia kitanzi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kauli yako kuhusu kifo cha Ariel Sharon

Mitandao ya kijamii imefurika ujumbe kuhusu taarifa za kifo cha Ariel Sharon. Nini kauli yako? facebook bbcswahili

 

11 years ago

BBCSwahili

Kauli yako:Vipi ndege imetoweka isijulikane iliko?

Katika Dira ya Dunia Redio, tunatathmini tukio la Ndege ya Malysia kutoweka na tunauliza ni vipi ndege kubwa itoweke katika enzi hii ya teknolojia ya kisasa?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani