GWAJIMA KAULI YAKO HAIKUWA YA KICHUNGAJI
![](http://api.ning.com:80/files/3BUwwLuJMnQN6*qZYDUp*DATD0WqWwjMDoa*PwyyeuHc0ynmGqHeYGBdui4I8o1af5bl0JPl4tnVmILfAFeQ25Kk3XsJYfff/150000080.jpg)
KWAKO Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Pole sana kwa masaibu yaliyokupata na bila shaka, Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema, atakujaalia afya njema hivi karibuni. Binafsi mimi mwananchi wa kawaida nisiyekuwa na cheo chochote cha dini wala siasa, ni mzima wa afya na ninaendelea na shughuli zangu za kila siku likiwemo hili la kukuandikia wewe barua. Kama ulikuwa hufahamu, kupitia hii barua...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog24 May
PROF. KABUDI: KAULI YA RAIS DK. MAGUFULI KUHIMIZA WATANZANIA KUSALI ILI TAIFA LIONDOKANE NA COVID 19 HAIKUWA IKIMAANISHA KUPUUZA KANUNI ZA KISAYASI KATIKA KUKABILIANA NA UGONJWA HUO
Akitoa salam za Shukrani kwa Mungu na watanzania kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa ni hitimisho la siku tatu za...
11 years ago
BBCSwahili14 Feb
Siku ya Valentine? Kauli yako
11 years ago
BBCSwahili15 Dec
Mazishi ya Mandela: Kauli yako
11 years ago
BBCSwahili20 Mar
Kauli yako: Nini kinakufurahisha zaidi?
11 years ago
BBCSwahili14 Jan
Kauli yako: Katiba ndio suluhu Misri?
11 years ago
BBCSwahili19 Mar
Kauli yako:Vipi ndege imetoweka isijulikane iliko?
11 years ago
BBCSwahili11 Jan
Kauli yako kuhusu kifo cha Ariel Sharon
9 years ago
Bongo Movies04 Oct
Nini maoni yako juu ya kauli hii ya Ray kuhusu yeye kuikimbia Team Mabadiliko?
Huku vuguvuga la uchaguzi likiendelea, leo mwigizaji maarufu nchini Vicenti Kigosi aliyekuwa anaongoza mapambano ya mabadiliko ndani ya UKAWA kabla ya kuhamia CCM ameandika ujumbe ufuatao kwa mashabiki wake..
“..Kwanza kabisa ningependa kuwaambia wafuata mkumbo mpende kupanua akili zenu na si kupenda kupanua vidole 2.
Nashangazwa sana na wapinzani kusimama mbele ya adhara na kusema kuwa tangia tumepata uhuru miaka 50 iliyopita serikali haijafanya chochote na wewe unashangalia tena...
11 years ago
TZToday21 Apr
UJUMBE WA KICHUNGAJI WA PASAKA 2014 KWA WAAMINI NA WATU WOTE WENYE MAPENZI MEMA
UJUMBE WA KICHUNGAJI WA PASAKA 2014
KWA WAAMINI NA WATU WOTE WENYE MAPENZI MEMA
“Sote tuwe na Umoja” (rej. Yn 17:21)
UTANGULIZI:
Ndugu wapendwa, tunapohitimisha kipindi cha Kwaresima kilichokuwa na ujumbe: “Ukweli utawaweka huru” (Yn. 8: 32), tunawaletea ujumbe wa “Umoja” ili kuongeza msisitizo kwenye ujumbe wetu wa Kwaresma. Tunaitwa kukubali kuwa umoja ni ukweli msingi wa kila mafanikio ya jumuiya ya mwanadamu.
Ufufuko ni Pasaka inayomaanisha kivuko au kupita kwa Wayahudi...