JK atema wakuu wa wilaya 19
Na Debora Sanja, Dodoma
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya kwa kuwateua wapya 27, huku akiwahamisha 64 katika vituo vyao na wengine 42 amewabakisha katika maeneo yao ya zamani.
Akitangaza mabadiliko hayo jana mjini hapa, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alisema mabadiliko hayo yamesababishwa na kuwapo kwa nafasi 27 zilizokuwa wazi kutokana na wakuu wake wa wilaya watatu kufariki dunia na wengine kupandishwa vyeo kuwa wakuu wa mikoa.
“Wakuu wa wilaya 27 wameteuliwa kuziba...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMHE. CHIKU GALLAWA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WATEULE WA WILAYA ZA MKOA WA DODOMA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
10 years ago
Dewji Blog26 May
JK amemteua Bwana Anthony Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa-Dodoma, ,afanya uhamisho wa wakuu 10 wa wilaya
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Wakuu wa wilaya wapewa somo
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
RC asitisha likizo za wakuu wa wilaya
MKUU wa Mkoa wa Kagera, Kanali Mstaafu Fabian Massawe, amesitisha likizo zote kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri hadi ujenzi wa majengo ya maabara utakapokamilika. Mbali na kusitisha...
10 years ago
Tanzania Daima15 Nov
Kingu awashukia Waganga Wakuu wa Wilaya
MKUU wa Wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu, amewashukia baadhi ya Waganga Wakuu wa Wilaya kwa kusema ni mizigo kwa serikali kutokana na kushindwa kutimiza wajibu wao. Kingu alitoa kauli hiyo...
10 years ago
Habarileo21 Mar
Waziri awaonya wakuu wa wilaya wasiowajibika
SERIKALI imesema haitasita kumwajibisha mkuu wa wilaya ambaye atashindwa kusimamia majukumu yake ipasavyo ili kuhakikisha wananchi wanaendelea kuwa na imani na Serikali yao.
10 years ago
Mwananchi21 Feb
Nini msingi wa kuwa na wakuu wa wilaya?
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Rais Kikwete ateua wakuu wa wilaya 13
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Wakuu wa wilaya wawe wabunifu wa miradi