Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC asitisha likizo za wakuu wa wilaya

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Kanali Mstaafu Fabian Massawe, amesitisha likizo zote kwa Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri hadi ujenzi wa majengo ya maabara utakapokamilika. Mbali na kusitisha...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mahiza asitisha uhamisho wa waganga wakuu Tanga

Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza amesitisha uhamisho wa waganga wakuu wa wilaya zilizopo mkoani Tanga ili kuongeza ufanisi katika utendaji kazi wao.

 

9 years ago

Dewji Blog

Amos Makalla apiga marufuku likizo za Ma DC, Wakurugenzi na Wakuu wa Idara mkoani Kilimanjaro

Na Mwandishi Wetu, Kilimanjaro

KATIKA hali inayoonyesha ni joto kali la kuwatumikia Watanzania, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Amos Makalla, amepiga marufuku likizo za Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi na Wakuu wa Idara kwenye mkoa wake ili kutekeleza kwa vitendo hotuba na maagizo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr John Pombe Magufuli.

RC Makalla aliyasema hayo jana katika kikao cha kazi na wakuu wa wilaya, wakurugenzi wa halmashauri, wakuu wa idara wa halmashauri na Kamati ya Ulinzi...

 

10 years ago

Michuzi

MHE. CHIKU GALLAWA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WATEULE WA WILAYA ZA MKOA WA DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kulia) akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Bendantunguka Tiisekwa Februari 25, 2015, anaeshuhudia katikati ni Katibu Tawala wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kulia) akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe Shabaan Kondo Kissu Februari 25, 2015, anaeshuhudia katikati ni Katibu Tawala wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

JK amemteua Bwana Anthony Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa-Dodoma, ,afanya uhamisho wa wakuu 10 wa wilaya

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Anthony Peter Mavunde kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa, Mkoa wa Dodoma, kuanzia leo, Jumatatu, Mei 25, 2015. Aidha, Rais Kikwete amefanya uhamisho wa wakuu 10 wa Wilaya kwa nia ya kuongeza ufanisi katika uongozi wa Wilaya mbali mbali nchini. Katika mabadiliko hayo, Rais Kikwete amemhamisha Luteni Edward Ole Lenga kutoka Wilaya ya Mkalama, Mkoa wa Singida kwenda kuwa mkuu wa wilaya mpya ya Kyerwa, Mkoa...

 

10 years ago

Mtanzania

JK atema wakuu wa wilaya 19

Rais Jakaya KikweteNa Debora Sanja, Dodoma
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya wakuu wa wilaya kwa kuwateua wapya 27, huku akiwahamisha 64 katika vituo vyao na wengine 42 amewabakisha katika maeneo yao ya zamani.
Akitangaza mabadiliko hayo jana mjini hapa, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alisema mabadiliko hayo yamesababishwa na kuwapo kwa nafasi 27 zilizokuwa wazi kutokana na wakuu wake wa wilaya watatu kufariki dunia na wengine kupandishwa vyeo kuwa wakuu wa mikoa.
“Wakuu wa wilaya 27 wameteuliwa kuziba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakuu wa wilaya wapewa somo

p>SERIKALI imewaagiza wakuu wa wilaya kulinda ipasavyo misitu iliyopo kwenye maeneo yao ili kuhifadhi maliasili zote zilizopo ikiwemo vyanzo vya maji. Agizo hilo lilitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Tabora,...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kingu awashukia Waganga Wakuu wa Wilaya

MKUU wa Wilaya ya Igunga, Elibariki Kingu, amewashukia baadhi ya Waganga Wakuu wa Wilaya kwa kusema ni mizigo kwa serikali kutokana na kushindwa kutimiza wajibu wao. Kingu alitoa kauli hiyo...

 

10 years ago

Habarileo

Waziri awaonya wakuu wa wilaya wasiowajibika

Hawa GhasiaSERIKALI imesema haitasita kumwajibisha mkuu wa wilaya ambaye atashindwa kusimamia majukumu yake ipasavyo ili kuhakikisha wananchi wanaendelea kuwa na imani na Serikali yao.

 

10 years ago

Mwananchi

Nini msingi wa kuwa na wakuu wa wilaya?

Saa kadhaa baada ya Rais Jakaya Kikwete kutengua uteuzi wa wakuu wa wilaya 12 na kuwateua wengine 27 rafiki yangu mmoja alinieleza jambo la utani lenye ukweli ndani yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani