Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK ATINGA OFISINI KWAKE LUMUMBA AANZA KUPIGA MZIGO

Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi,Ofisi Ndogo Lumumba. Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa Sekretarieti Ndugu Anamringi Macha mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za CCM Lumumba. Mwenyekiti wa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

JK ATINGA OFISINI KWAKE LUMUMBA AANZA KUPIGA MZIGO FASTA

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi,Ofisi Ndogo Lumumba. Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa Sekretarieti Ndugu Anamringi Macha mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za CCM Lumumba. Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete...

 

9 years ago

CCM Blog

JK ATINGA OFISINI KWAKE CCM LUMUMBA LEO


 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi,Ofisi Ndogo Lumumba.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa Sekretarieti Ndugu Anamringi Macha mara baada ya kuwasili kwenye ofisi za CCM Lumumba.
 Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete...

 

9 years ago

Michuzi

JK aendelea na kazi za Chama ofisini kwake mtaa wa Lumumba

 Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa Itikadi na Uenezi  Nape Nnauye mara baada ya kuwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Ofisi Ndogo Lumumba.Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ofisini kwake Makao Makuu ya  CCM Ofisi Ndogo Lumumba. Picha na Adam Mzee

 

9 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI ATINGA OFISINI KWA WAZIRI MKUU MAJALIWA

 Rais  Dkt.John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe.  Majaliwa Kassim Majaliwa  wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo Novemba 26, 2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa moja. Rais John Pombe Joseph Magufuli akitia saini  kitabu cha wageni wakati alipomtembelea Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ofisini kwake jijini Dar es salaam leo Novemba 26, 2015  na kuzungumza nae kwa takribani saa mojaRais John Pombe Joseph Magufuli akiagana  na Waziri Mkuu...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MBARAWA ATINGA OFISINI LEO MARA BAADA YA KULA KIAPO

Katibu wa iliyokuwa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akimkaribisha Waziri mpya wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa kwenye ofisi yake mpya wizarani hapo, alipowasili kwa mara ya kwanza mara baada ya kula kiapo ikulu, jijini Dar es Salaam leo. Katibu wa iliyokuwa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akimkaribisha Waziri mpya wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa, kuongea na Viongozi wa Wizara na watendaji wa Taasisi zilizo chini ya...

 

11 years ago

Habarileo

Balozi Libya ajiua ofisini kwake Dar

ALIYEKUWA Kaimu Balozi wa Libya nchini, Ismail Nwairat, amekufa, baada ya kujipiga risasi.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MAHENGE AKUTANA NA UJUMBE WA MABALOZI OFISINI KWAKE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mheshimiwa Binilith Mahenge akiukaribisha ujumbe wa Mabalozi waliotembelea Ofisini kwake wakiongozwa na Balozi wa Sweden Bi. Katarina Rangnitt Ujumbe huo ulifika kwa ajili ya kuzungumzia maswala ya mabadiliko ya Tabia Nchi kwa Nchi za zinazoendelea.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mheshimiwa Binilith Mahenge akiongea jambo na Balozi wa Sweden Bi. Katarina Rangnitt aliyeongoza Ujumbe wa Mabalozi waliofika Ofisini kwake leo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani