JK avumisha upepo mpya urais 2015
Na Elias Msuya
WIKI chache baada ya Rais Jakaya Kikwete kusema anatamani kurithiwa na kijana mwenye haiba yake alipokuwa akigombea urais mwaka 2005, sasa amebadili upepo na kusema vijana wajitokeze kugombea urais kama alivyofanya yeye mwaka 1995, lakini hawatapitishwa.
Katika maadhimisho ya Siku ya Mwalimu Nyerere Oktoba 14, akiwa mkoani Tabora, Rais Kikwete alisema vijana ndio chachu ya maendeleo ya taifa lolote, hivyo washiriki katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi na kushiriki...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi14 Jan
10 years ago
Mtanzania23 Jan
Ukawa wabuni mbinu mpya ya urais 2015
KIKAO cha pamoja kilichowakutanisha viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kimetoa mikakati ya pamoja ikiwamo kuandaa ratiba ya uteuzi wa wagombea wa nafasi ya urais kwa kila chama.
Hatua hiyo imekuja baada ya kikao cha siri cha siku mbili kilichowakutanisha viongozi wa juu wa Ukawa ambao ni Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, Freeman Mbowe (Chadema), James Mbatia (NCCR-Mageuzi) na Dk. Emmanuel Makaidi (NLD).
Chanzo cha kuaminika kiliambia MTANZANIA jana kuwa katika kikao...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-dt9ZRPfC66k/VLazZEcTqBI/AAAAAAADVfw/7HXjlF2GMzU/s72-c/WARNING%2B14-01-2015-page-001.jpg)
10 years ago
Mwananchi24 Aug
Pinda abadili upepo urais CCM
9 years ago
Michuzi13 Sep
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-g3Cdedk0SWI/VKQZHk_9wtI/AAAAAAAAAL0/CmZzCZMqeFU/s72-c/Sheik-29Dec2014.jpg)
Utabiri: Mgombea Urais kufa akitafuta urais 2015
![](http://2.bp.blogspot.com/-g3Cdedk0SWI/VKQZHk_9wtI/AAAAAAAAAL0/CmZzCZMqeFU/s640/Sheik-29Dec2014.jpg)
Mrithi wa Mnajimu na Mtabiri wa Afrika Mashariki, Kati na Kusini, Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Alhaj Maalim Hassan Yahya Hussein, ametabiri kwamba kiongozi mmoja mzee aliye kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais, atadondoka ghafla kwenye jukwaa na kufa mwakani.Amesema kiongozi huyo, ambaye hakumtaja jina, atafariki dunia baada ya tukio hilo wakati akikimbizwa hospitali.Alitangaza utabiri huo, alipozungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam jana, kuhusu kutumia kwa utabiri...
10 years ago
Vijimambo01 Jan
Heri ya Mwaka Mpya - Karibu Ibada ya Kwanza 2015 - Jumapili 01/04/2015 Kuanzia Saa tisa na nusu alasiri
Ibada ya Kiswahili Columbus inawakaribisha wote kwenye ibada ya kwanza ya Kiswahili kwa mwaka mpya wa 2015.
Karibuni wote tumwabudu Mungu na kumshukuru baraka zake ambazo zimetufikisha mwaka mpya.
Tafadhali mkaribishe rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!
![Heri ya Mwaka Mpya! Ibada ya Kiswahili Columbus inawakaribisha wote kwenye ibada ya kwanza ya Kiswahili kwa mwaka mpya wa 2015. Karibuni wote tumwabudu Mungu na kumshukuru baraka zake ambazo zimetufikisha mwaka mpya. Tafadhali mkaribishe rafiki/jirani yako. Mbarikiwe!](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/UvO5wOXEsaHp0RsLa6A3IlNblTNHlte9RKKnlgJcRgZHRLHPFBBUiEY-Y9K0okmeWcL0dSK9cQhwS0MGgZm6eiFJwEheyGF8lgfqYFms1C_MrrHWBXmW1n-wTANFwUEv3A0RxDEqm96uV52cVej3nAsFIEUDxOymZYdLNNVHBBUxXGvLHIxIV6IOY_BP9CZ4w46FV7JyMpVEai5WZK1_iZtcOhshkWkEhTnMDa_Q6pilSo8AOM6xqYC_Tk9Ti8Mx_3qyPmZCtyBDSKwlvTnAmoIYU_xHx-KerdOi9CbddFgCntood8pvNkH1fLSUK7X5GnrgBMf4cwgf=s0-d-e1-ft#https://fbcdn-sphotos-b-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xfp1/v/t1.0-9/q90/p235x350/1939524_849965588395753_7505627267144143561_n.jpg?oh=88621761a202daa559bfca32c6366523&oe=55433E0E&__gda__=1429298227_d3cbbf1c7a8d755f337bda3af9de7152)
9 years ago
Michuzi15 Oct
RATIBA YA KAMPENI ZA MGOMBEA URAIS/MGOMBEA MWENZA KWA VYAMA VYA SIASA (KAMA ILIVYOREKEBISHWA TAREHE 15/10/2015) UCHAGUZI WA RAIS, WABUNGE NA MADIWANI, 2015
11 years ago
Tanzania Daima06 Jul
Urais balaa 2015
MBIO za kusaka urais katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwaka 2015, zimeligawa taifa katika misingi ya ujana na uzee, Tanzania Daima Jumapili, limebaini. Baadhi ya wanasiasa kutoka chama tawala na...