JK awananga wanasiasa wanaotumia mgongo wa dini
Rais Jakaya Kikwete amewataka viongozi wa dini nchini kutowaonea haya viongozi wa kisiasa wanaotaka kugeuza nyumba za ibada kuwa majukwaa ya kufanyia siasa kwa kuwa hali hiyo inaweza kusababisha vita ya kidini au waumini kwa waumini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-QGAL97PIhPA/VLpX0nISEgI/AAAAAAAG9-w/giB02-NwJuY/s72-c/DSC_0801.jpg)
VIONGOZI WA DINI WAKEMEA MAOVU YANAYOFANYWA KWA MGONGO WA DINI
Viongozi wa dini za kiislaam na kikristo wamesema dini ni za unyenyekevu na sio za kufanya maovu,ikitokea mtu mmoja katika imani anafanya maovu ni lazima akemewe ndani ya imani yake kwanza.
Wameyasema hayo leo katika kongamano la kujadili madhara ya misimamo mikali ya imani za kidini (Tafkiri) katika jamii na taifa lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kufungua kongamano hilo Katibu wa Taasisi za...
9 years ago
StarTV04 Sep
Viongozi wa dini Kilimanjaro wawaonya wanasiasa
Viongozi wa madhehebu ya dini mkoani Kilimanjaro wamewaonya wanasiasa kuacha lugha potofu na zenye uchochezi ambazo zinaweza kusababisha uvunjifu wa amani hasa wakati huu ambao watanzania wako katika harakati za kufanya uchaguzi wa viongozi watakaoliongoza taifa kwa miaka mitano ijayo.
Kauli za viongozi hao zinakuja kutokana na baadhi ya wanasiasa kutumia mikutano na majukwaa ya kampeni kutamka maneno ambayo yanahatarisha amani nchini.
Hayo yamejiri katika mkutano ulioandaliwa na viongozi...
9 years ago
Habarileo13 Oct
Viongozi wa dini watakiwa kuwakwepa wanasiasa
VIONGOZI wa dini wametakiwa kuwa wavumilivu na kuacha mabishano na wanasiasa ili kuepusha mvurugano unaoweza kusababisha uvunjifu wa amani katika kipindi hiki cha uchaguzi.
10 years ago
Mwananchi02 Apr
‘Viongozi wa dini acheni kuwatembeza wanasiasa’
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Viongozi wa dini wakumbuka mashujaa ‘walia’ na wanasiasa
10 years ago
Habarileo19 Jul
Viongozi wa dini wataka wanasiasa kukubali matokeo
WAKATI Waislamu mkoani Kigoma wakiungana na wenzao duniani kusherehekea Sikukuu ya Idd el Fitr, viongozi wa dini na mashehe wamewataka wanasiasa waliojitokeza kugombea nafasi mbalimbali kwenye Uchaguzi Mkuu mwaka huu, kukubali matokeo ili kudumisha amani ya nchi yetu.
10 years ago
Dewji Blog15 Oct
Viongozi wa dini, wanasiasa waombwa kusaidia kufanikisha chanjo ya Surua na Rubella
Mkuu wa wilaya ya Singida,Queen Mlozi, akifungua kikao cha uhabarisho wa chanjo mpya ya Surua na Rubella wilayani humo. Dc Mlozi pamoja na mambo mengine, ameagiza viongozi wa madhehebu ya dini na wale wa kisiasa, kushiriki kikamilifu zoezi hilo la kitaifa linalotarajiwa kuanza Okt. 18 hadi 24 mwaka huu. Jumla ya watoto 103,879 wilayani humo, wanatarajiwa kupatiwa chanjo hiyo. Kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Singida, Mwendahasara Maganga.
Na Nathaniel Limu,...
9 years ago
Dewji Blog29 Dec
Afya ya Uti wa Mgongo ni Afya ya Mgongo – Dk. Yash Gulati, Apollo Hospital
![](http://4.bp.blogspot.com/-O4QW4oBbZUs/VoJh2eNL2vI/AAAAAAAAIfA/BmWbFFzxq8U/s1600/Dr%2B-Yash-Gulati.jpg)
Maendeleo katika njia za ufanyaji kazi pamoja na matumizi ya teknolojia yanavyokuwa kwa kasi yanaweza kutufanya tuamini tumepunguza maumivu katika viungo vyetu vya mwili ila si hivyo. Tunatumia magari, mitandao mbalimbali ambayo vizazi vilivyopita havijawahi kuota kutumia.
Mabadiliko haya mapya katika maisha yetu yenye msisitizo mdogo katika uimarishaji wa viungo umechukua hatamu na...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-OWGUNuUYITA/VoKUl3RKkXI/AAAAAAAIPOQ/5nG5CRlWA4I/s72-c/Screen%2BShot%2B2015-12-29%2Bat%2B5.07.57%2BPM.png)
Afya ya Uti wa Mgongo ni Afya ya Mgongo - Dk. Yash Gulati, Apollo Hospital
![](http://3.bp.blogspot.com/-OWGUNuUYITA/VoKUl3RKkXI/AAAAAAAIPOQ/5nG5CRlWA4I/s400/Screen%2BShot%2B2015-12-29%2Bat%2B5.07.57%2BPM.png)
Maendeleo katika njia za ufanyaji kazi pamoja na matumizi ya teknolojia yanavyokuwa kwa kasi yanaweza kutufanya tuamini tumepunguza maumivu katika viungo vyetu vya mwili ila si hivyo. Tunatumia magari, mitandao mbalimbali ambayo vizazi vilivyopita havijawahi kuota kutumia. Mabadiliko haya mapya katika maisha yetu yenye msisitizo mdogo katika uimarishaji wa viungo umechukua hatamu na...