Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK awasili Dodoma

PG4A2392

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mweyekiti Mstaafu wa CCM wa mkoa wa Dodoma  baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Juni 11, 2014 kwa ajili ya vikao vya maadalizi ya kuwasilishwa kwa bajeti ya serikali kesho. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Pinda awasili Dodoma

PG4A9850

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi ya Rasaisei English Medium  ya mjini Dodoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Aprili 24, 2015. Wapili kulia ni Rubani wa Ndege za serikali, Narzis Kisimbo, kulia ni Mwalimu Esther Minja na kushoto ni mwalimu Emmanuel Kubyo.Wanafunzi hao walikuwa kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ziara ya kujifunza. (Picha na Ofisi   ya Waziri Mkuu).

PG4A9869

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na...

 

10 years ago

Michuzi

DK. SHEIN AWASILI MJINI DODOMA LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa Dodoma Dk.Reheme Nchimbi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo kuhudhuria katika Hafla ya kukabidhi Katiba inayopendekezwa na Bunge Maalum la katika Uwanja wa Jamhuri Dodoma. Rais wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na aliyekua Spika wa Bunge la Malum la Katiba Samuel Sitta alipowasili Uwanja wa Ndege wa Dodoma leo kuhudhuria katika...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete awasili mjini Dodoma

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la katiba Mh.Samuel Sitta akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege mjini Dodoma ambapo anatarajiwa kupokea katiba mpya inayopendekezwa.(photo by Freddy Maro)

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AWASILI MJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa mkoa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili ya kikao cha Bunge Maalum la Katiba akitoka Dar es salaam, Aprili 23, 2014. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo, Dr. Reema Nchimba (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AWASILI MJINI DODOMA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi ya Rasaisei English Medium ya mjini Dodoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Aprili 24, 2015. Wapili kulia ni Rubani wa Ndege za serikali, Narzis Kisimbo , kulia ni Mwalimu Esther Minja na kushoto ni mwalimu Emmanuel Kubyo.Wanafunzi hao walikuwa kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ziara ya kujifunza. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wafanyakazi wa Wakala wa Ndege za...

 

11 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AWASILI DODOMA KUHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, leo, Alhamisi, Machi 20, 2014, amewasili mjini Dodoma kwa ziara ya kikazi ya siku tatu ambako miongoni mwa mambo mengine atakuwa Mgeni Rasmi na atahutubia Bunge Maalum la Katiba kesho, Ijumaa, Machi 21, 2014. Muda mfupi baada ya kuwa amewasili na kulakiwa na Waziri Mkuu, Mheshimiwa Mizengo Peter Pinda kwenye Uwanja wa Ndege...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MKUU MHE MIZENGO PINDA AWASILI MKOANI DODOMA

waz1Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi ya Rasaisei English Medium ya mjini Dodoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Aprili 24, 2015. Wapili kulia ni Rubani wa Ndege za serikali, Narzis Kisimbo , kulia ni Mwalimu Esther Minja na kushoto ni mwalimu Emmanuel Kubyo.Wanafunzi hao walikuwa kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ziara ya kujifunza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) waz2Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani