Pinda awasili Dodoma
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi na walimu wa Shule ya Msingi ya Rasaisei English Medium ya mjini Dodoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Aprili 24, 2015. Wapili kulia ni Rubani wa Ndege za serikali, Narzis Kisimbo, kulia ni Mwalimu Esther Minja na kushoto ni mwalimu Emmanuel Kubyo.Wanafunzi hao walikuwa kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ziara ya kujifunza. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YIFxXfdeNDM/VTpjNxuBuPI/AAAAAAAHS-M/wK7buTADjik/s72-c/unnamed%2B(7).jpg)
WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AWASILI MJINI DODOMA
![](http://2.bp.blogspot.com/-YIFxXfdeNDM/VTpjNxuBuPI/AAAAAAAHS-M/wK7buTADjik/s1600/unnamed%2B(7).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-AyTCU5OQJzM/VTpjONN4VGI/AAAAAAAHS-I/YSffn4W0gd8/s1600/unnamed%2B(8).jpg)
10 years ago
Vijimambo24 Apr
WAZIRI MKUU MHE MIZENGO PINDA AWASILI MKOANI DODOMA
![waz1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/waz1.jpg)
![waz2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/waz2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Jun
Pinda awasili Iringa
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakizungumza na Chifu wa Wahehe Adam Abdu Sapi Mkwawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa Juni 20, 2015 . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Chifu wa Wahehe Adam Abdu Sapi Mkwawa baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Iringa Juni 20, 2015 . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
11 years ago
Dewji Blog11 Jun
JK awasili Dodoma
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mweyekiti Mstaafu wa CCM wa mkoa wa Dodoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Juni 11, 2014 kwa ajili ya vikao vya maadalizi ya kuwasilishwa kwa bajeti ya serikali kesho. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
11 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA AWASILI MWANZA KUFUNGA MAONYESHO YA NANENANE
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA AWASILI OMAN KWA ZIARA YA KIKAZI
10 years ago
Dewji Blog14 Sep
Pinda awasili Tanga kwa ziara ya kikazi ya siku moja
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya siku moja ya kikazi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wasanii wa kikundi cha wanawake wa cha Tanga cha Msanja baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Tanga kwa ziara ya siku moja ya kikazi Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo Chiku Gallawa. (Picha na Ofisi ya Waziri...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-vAKttRv8QxA/VDUl7XW17AI/AAAAAAAGoqU/OudDgtBZqas/s72-c/unnamed%2B(97).jpg)
Rais Kikwete awasili mjini Dodoma
![](http://2.bp.blogspot.com/-vAKttRv8QxA/VDUl7XW17AI/AAAAAAAGoqU/OudDgtBZqas/s1600/unnamed%2B(97).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-gsVgrSYETq0/VDUl7e0SxFI/AAAAAAAGoqY/Mx7fo_5uHQU/s1600/unnamed%2B(98).jpg)