Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK azindua kiwanda cha kupasua kokoto B’moyo

RAIS Jakaya Kikwete amezindua kiwanda cha kupasua kokoto za ukubwa mbalimbali kwa wastani wa meta za ujazo 2,000 kwa siku katika kijiji cha Pongwe, Msungura wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AZINDUA KIWANDA CHA SARUJI CHA DANGOTE MTWARA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe Halima Denengo na mmiliki wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote (nyuma yao) wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho kikubwa kuliko viwanda vyote vya saruji Afrika Mashariki huko Mtwara.
  Sehemu ya wafanyakazi wa kiwanda kipya cha Saruji cha Dangote Alhaj Aliko Dangote  wakati wa sherehe za kuzindua kiwanda hicho.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Alhaj Aliko Dangote wakikata utepe kuashiria...

 

11 years ago

Dewji Blog

Dkt Bilal azindua mtambo wa maji taka wa kiwanda cha Serengeti cha Mwanza

IMG_0080

 Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimia wananchi wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa Maji taka wa Kiwanda cha Serengeti cha mjini Mwanza.(Picha na OMR).

IMG_0058

Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib  Bilal akifungua kipazia kuzindua Mtambo wa Maji taka wa Kiwanda cha Serengeti cha Mjijini mwanza kushoto Mwenyekiti wa Bodi ya kiwanda cha Serengeti.

IMG_0052

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal akikatautepe kuzindua mtambo wa...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA ULINZI AZINDUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIFAA VYA UJENZI CHA UTURUKI

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe.Hussen Mwinyi (katikati), akikata utepe kuzindua rasmi kiwanda cha kutengezea vifaa vya ujenzi cha Uturuki STONE BLOCK BUILDING. Jun 2,2014.kilichopo Kawe Mbezi Beach jijini Dar es Salaam (wakwanza kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki, Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Ali Davutoglu na maofisa wa Uturuki. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiki wakijadiliana jambo na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania Ali...

 

11 years ago

Mwananchi

JK azindua kitengo cha moyo

>Rais Jakaya Kikwete jana alizindua kitengo cha Tiba ya Moyo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH)  na kuutaka uongozi kuhakikisha kinakuwa taasisi inayojitegemea.

 

11 years ago

Michuzi

DKT BILAL AZINDUA MTAMBO WA MAJI TAKA WA KIWANDA CHA SERENGETI CHA MWANZA LEO

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akikatautepe kuzindua mtambo wa Maji taka ya kiwanda cha Serengeti cha Mjini Mwanza kulia Mwenyekiti wa Bodi Nehemiah Mchechu kushoto Mkurugenzi Mtendaji Bw Steve Gannon.  Makamu wa Rais wa jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akisalimia wananchi wakati wa uzinduzi wa Mtambo wa Maji taka wa Kiwanda cha Serengeticha mjini Mwanza
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Mohammed Gharib Bilal akiwa katika picha ya...

 

11 years ago

GPL

RAIS AZINDUA KITENGO CHA MOYO MUHIMBILI

Mwakilishi wa Rais wa China, Hon. Chen Changzhi akipeana mkono na mmoja wa madaktari wakuu wa kitengo cha magonjwa ya moyo mara baada ya kuwasili kwenye uzinduzi huo.     Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na madaktari kabla ya uzinduzi.…

 

5 years ago

Michuzi

Jerry Muro azindua kiwanda cha kutengeneza Barakoa




************************************

Na Woinde Shizza , Arusha .
Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro leo amezindua kiwanda kidogo kitakachokuwa kikizalisha Barakoa kwa ajili ya watumishi wa wilaya hiyo katika sekta ya afya. 
Akizindua kiwanda hicho kidogo cha uzalishaji wa barakoa katika wilaya hiyo kuwa hicho litasaidia kutengeneza barakoa kwaajili ya wafanyakazi wote was halmashauri hiyo.  Alisema kiwanda hicho kitakuwa ni mali ya Serikali na kipo ndani ya hospitali ya Halmashauri ya Meru...

 

9 years ago

StarTV

Mwinyi azindua kiwanda cha  zana za kilimo, ujenzi

Rais mstaafu wa awamu ya Pili Ally Hassan Mwinyi amezindua kiwanda cha kuuza dhana bora za kilimo na ujenzi zitakazokuwa zinauzwa hapa nchini kwenye Kiwanda cha AVIC-SHANTUI Tanzania Limited kitakachomilikiwa na ndugu na rafiki wa muda mrefu wa Tanzania kutoka China.

Matarajio ya baadaye ya Kiwanda hicho ni kuzalisha bidhaa hapa hapa nchini kwa kutumia chuma kutengeneza dhana mbalimbali za Kilimo pamoja na vifaa vya ujenzi hali itakayochangia kukuza uchumi wa Taifa.

 Rais Mwinyi amewataka...

 

11 years ago

Michuzi

JK AZINDUA KITUO CHA MOYO KATIKA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI LEO

: Rais Dkt Jakaya Mrisho kikwete na Makamu Mwenyekiti wa chama tawala cha China cha National People's Congress Mhe. Chen Changzhi wakipata maelezo ya utendaji wa mashine katika chumba cha wagonjwa mahututi  (ICU) pamoja na chumba cha uchunguzi kwenye kituo kipya na cha kisasa cha Moyo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kukifungua rasmi leo April 27, 2014

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani